JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.8K photos
3.62K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Unakubaliana na hoja ya mdau? Kama ndio, taja vingine

Zaidi https://jamii.app/UaminifuKurudi

#JamiiForums #Maisha
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
SINGIDA: Mdau wa JamiiForums.com amendika "Natoa wito kwa TAMISEMI, uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida na Wizara ya Elimu kufuatilia uendeshaji wa Shule ya Mungumaji, wazungumze na Wanafunzi, Walimu na Wazazi kubaini ukweli."

Mdau, una maoni gani?

Zaidi https://jamii.app/WanafunziMunguMaji

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFElimu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo amesema ajali iliyotokea Mkambarani, Kikombe Chachai, imehusisha basi lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya kugongana na lori lililobeba mbao.

Ajali ya pili ilitokea Mtibora, Wilaya ya Mvomero, ikihusisha gari la Polisi lililokuwa na Askari wakielekea kazini kugongana na lori na kusababisha vifo vya watu wanne.

Zaidi https://jamii.app/AjaliMbiliMorogoro

#JamiiForums #Tanzia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Yahya Ramadhani Kido amezungumza na Wanahabari na kueleza kuwa kwa sasa hali ni shwari baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi, Alfajiri ya leo Oktoba 9, 2026.

Zaidi https://jamii.app/TetemekoKagera

#JamiiForums #JFMatukio
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
KILIMANJARO: Msemaji wa familia, Judica Urassa ametoa msimamo huo leo Oktoba 9, 2026 wakati mwili wa Jane Urassa ulipowasili nyumbani kwao katika Kijiji cha Nkuu Sinde, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai kwa ajili ya kuagwa kabla ya mazishi.

Jane alifariki Dunia alfajiri ya Oktoba 1, 2026, Bunju B, ikidaiwa alipigwa risasi na mumewe, Laurent Kweka ambaye alijisalimisha Polisi.

Zaidi https://jamii.app/UrassaVsKweka

#JamiiForums
Mdau, Hali ya upatikanaji wa maji kwenye mtaa wako inaridhisha?

Zaidi https://jamii.app/MgaoMajiGoba

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau shiriki katika mjadala huu kwa kuweka neno kwenye komenti hapo chini...

Zaidi https://jamii.app/KaziNyumbani

#JamiiForums #Maisha #JFChitChat
Mdau, Ukibaki na watoto nyumbani huwa unaweza kuwamudu?

Zaidi https://jamii.app/BabaKuleaWatoto

#JamiiForums #Maisha