JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau, ulifanya nini kumsaidia mtu wako wa karibu aliyepitia unyanyasaji au udhalilishaji mtandaoni?

Shiriki https://jamii.app/MhangaLawama

#JamiiForums #EndGBV #KataaUkatili #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
SIMIYU: Jeshi la Polisi limetangaza kuwashikilia watu hao kutokana na wizi wa betri za mashine maalum ya mionzi (CT-SCAN) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Nyaumata) na mahojiano ya kina yanaendelea.

Awali, Oktoba 19, 2026, Mkuu wa Mkoa, Said Mtanda alitoa agizo kwa jeshi hilo kuhakikisha ndani ya Saa 24 linawakamata watuhumiwa wote waliohusika na wizi huo wa betri 40.

Zaidi https://jamii.app/WiziBetriCTScan

#JamiiForums #Uwajibikaji
❤1
Oktoba 20, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu

Zaidi https://jamii.app/SameWajawazito

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
UPDATES: Ikumbukwe, Oktoba 1, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika, “Waziri wa Madini, Tusaidie Wachimbaji: Tulilipia Safari ya Canada, Hatujasafiri Wala Kurejeshewa Fedha”.

Oktoba, 8, 2026, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina akazungumza na Waandishi wa Habari na kueleza watachukua hatua kali za Kisheria kwa Watu wote waliohusika ‘kula’ fedha hizo na kwamba 'watazitapika'.

Zaidi https://jamii.app/FEMATAWachimbaji

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
❤1
Tembelea Jukwaa la Jamii Health (Jukwaa la Afya) ndani ya JamiiForums.com kusoma na kuchangia mada mbalimbali.

Zaidi https://jamii.app/MtotoKondomu

#JamiiForums #JFAfya
❤1
Piga 0901760321 kuongea na AVA bila kutumia bando

Zaidi  https://jamii.app/AVANiAI

#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Alichoandika Mdau wa JamiiForums.com kuhusu mgomo wa madereva ulioanza jana Oktoba 20, 2026 wakipinga baadhi ya maelekezo yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Jumanne Abdallah Sagini ikiwemo utaratibu mpya wa njia na vituo kwa madereva Bajaji.

Zaidi https://jamii.app/MgomoBajaji

#JamiiForums #Uwajibikaji