JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau, alifanya nini hadi ukasema huwezi kumuoa au kuolewa nae?

Shiriki Mjadala https://jamii.app/MchumbaKuoana

#JamiiForums #Maisha
KUMBUKIZI: Baada ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999 Jijini London, mwili wake ulirejeshwa Tanzania Oktoba 18 na kuagwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Uhuru, Oktoba 21, Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda Butiama kwa ajili ya mazishi ya kifamilia Oktoba 23.

Kwa mujibu wa mila za Kabila la Wazanaki, neno "Mwitongo" linamaanisha mahame au eneo lililoachwa wazi baada ya kifo cha mkuu wa familia. Eneo hilo lilibaki wazi baada ya kifo cha baba yake Mwalimu, Mtemi Nyerere Burito, Mwaka 1942 kabla ya kuendelezwa miaka ya baadaye.

Unakumbuka tukio gani katika siku hiyo?

Zaidi https://jamii.app/MazishiNyerere

#JamiiForums #JFKumbukizi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mmoja wa Wafanyabiashara wadogo (Machinga) akizungumzia kuhusu kuondolewa kwao eneo la One-Way na kupelekwa Dodoma INI, ambapo wamepinga kwa kuandamana leo Oktoba 23, 2026, wakidai eneo walilopelekwa si rafiki kwa biashara zao.

Zaidi https://jamii.app/MachingaDodoma

#JamiiForums #JFMatukio #CivilRights
Oktoba 23, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu

Zaidi https://jamii.app/MhadhiriChuo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
❤2
Unakubaliana na hoja ya Mdau?

Shiriki Mjadala https://jamii.app/WanaumeBora

#JamiiForums #Maisha
Mdau, ungechagua Shirika gani?

Shirika Mjadala https://jamii.app/HisaMashirika

#JamiiForums #Uchumi