JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema Kamati kuu ya Chama hicho inaendelea kusisitiza Uchunguzi huru wa Mauaji yaliyotokea Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata.

Zaidi https://jamii.app/MnyikaOktoba29

#JamiiForums #Demokrasia #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, amesema hayo Bungeni Oktoba 27, 2026, wakati akisoma azimio la kumpongeza Rais Samia Suluhu, kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 147 wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU), jijini Arusha kuanzia Oktoba 23 hadi 26, 2026.

Soma https://jamii.app/SamiaMazungumzoAmani

#JamiiForums #Siasa
MOROGORO: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kufuatilia madai ya barua za maombi ya kubadilishiwa muundo wa utumishi kwa watumishi waliojiendeleza kielimu yaliyokwama Masijala ili wapate haki zao kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma.

Soma https://jamii.app/MoroDCBaura

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
PWANI: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kufuatilia na kutatua changamoto ya kuchelewa kwa vyeti vya wahitimu wa Kozi ya Basic Driving katika chuo cha IFDC.

Soma https://jamii.app/UderevaIFDCRufiji

#JamiiForums #JFMdau2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Timu ya #Yanga imerejesha makali katika Ligi Kuu Bara, hiyo ni baada ya kuifunga Mashujaa FC magoli 2-1 kwenye Uwanja wa KMC Complex. Goli la Mashujaa limefungwa na Crispin Ngusi wakati ya Yanga wafungaji ni Peter Shalulile na Clement Mzize.

Ushindi huo umeifanya Yanga kufikisha pointi 22 katika michezo 9 ikiwa nafasi ya pili nyuma ya Simba yenye alama 24 katika mechi 8, upande wa Mashujaa imebaki na alama 12 katika michezo 9, ipo nafasi ya 8.

Mdau umeonaje ‘ball’ la Vijana wa Jangwani?

Zaidi https://jamii.app/YangaMashujaaDar

#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
❤1
Piga Namba 0901760321 kuwasiliana na AVA kwenye simu ya aina yoyote ile uweze kupata huduma ya AI.

Zaidi  https://jamii.app/AVANiAI

#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
SONGWE: Mdau wa JamiiForums.com ameandika "Natoa wito kwa Mamlaka za Madini na Uongozi wa Wilaya kutoa ufafanuzi kuhusu Leseni, mipaka ya maeneo ya uchimbaji na haki za Wachimbaji hao, ili mgogoro huo upatiwe suluhisho la haki."

Zaidi https://jamii.app/WachimbajiSazaLeseni

#JamiiForums #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amesema hayo Oktoba 28, 2026 Bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agness Marwa kuhusu hatma ya ujenzi wa barabara ya Mgumu–Nata inayoelekea Hifadhi ya Taifa Serengeti.

Zaidi https://jamii.app/KadogosaKujenga

#JamiiForums #Uwajibikaji
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amesema hayo Oktoba 28, 2026, Bungeni, wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Serengeti, Mary Daniel.

Soma https://jamii.app/TozoZaBarabara

#JamiiForums #Uchumi #JFHuduma
❤1
MISRI: Baada ya droo ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2026/27, unaona timu ipi itavuka hatua hii?

Zaidi https://jamii.app/DrooMakundiAfrika
 
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
MISRI: Je, Simba SC italipa kisasi kwa RS Berkane na Orlando Pirates, na je, Yanga SC itawakandamiza wakongwe kwenye kundi lake wakiwemo Zamalek SC?

Shiriki  https://jamii.app/DrooMakundiAfrika

#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026