This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Rais Samia ameyasema hayo leo, Novemba 2, 2026, Ikulu ya Chamwino, wakati wa kuwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni, ikiwemo Dunford Mpelumbe, Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora pamoja na Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo
Zaidi https://jamii.app/SamiaHakiZaBinadamu
#JamiiForums #JFMatukio #HakiZaBinadamu
Zaidi https://jamii.app/SamiaHakiZaBinadamu
#JamiiForums #JFMatukio #HakiZaBinadamu
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Marekani (FAA) imesema ndege hiyo ilikuwa aina ya Learjet 60, iliyokuwa ikielekea Bahamas kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Austin-Bergstrom Novemba 1, 2026.
Waziri wa Uchukuzi, Sean Duffy, amesema ndege hiyo ilianguka na kusababisha vifo vya abiria wote waliokuwemo kabla ya kushika moto na kulipuka. Kwa mujibu wa rekodi za Bodi ya Taifa ya Usalama wa Usafirishaji (NTSB), ajali hiyo inatajwa kuwa ya pili kusababisha vifo vingi zaidi nchini humo mwaka huu.
Zaidi https://jamii.app/NdegeKuanguka
#JamiiForums #HakiZaBinadamu

Novemba 2, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu📌
Kusoma zaidi kwa kirefu bofya https://jamii.app/WaaandishiKunyanyaswa
#JamiiForums #Uwajibikaji #UhuruWaHabari
Kusoma zaidi kwa kirefu bofya https://jamii.app/WaaandishiKunyanyaswa
#JamiiForums #Uwajibikaji #UhuruWaHabari
MICHEZO: Aliyekuwa mchezaji wa Singida Black stars, Damaro Camara ametoa taarifa hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram akieleza amefanya hivyo kwa sababu zake binafsi na za kifamilia.
Ikumbukwe Mnamo Januari 2025 alipewa uraia wa Tanzania kwa tajnisi (naturalization )kupitia vifungu vya 9 na 23 vya Sheria ya Uraia wa Tanzania (Sura ya 357)
Mdau, unakumbuka tukio gani kuhusu mchezaji huyu?
Zaidi https://jamii.app/DamaroUraia
#JamiiForums #JFSports

❤2
Nini maoni yako Mdau? Mjadala unaendelea https://jamii.app/ViwanjaTAUSI
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
KENYA: Jaji wa Mahakama Kuu Alexander Muteti amemtaka Inspekta Generali wa Polisi, Douglas Kanja, kujitokeza kueleza kuhusu kupotea kwa mwanaharakati Mtanzania na mwanachama wa CHADEMA, Twaha Mwaipaya aliyeripotiwa kutoweka Oktoba 25, 2026, eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos.
Katika kesi ya maombi ya Habeas Corpus inayotaka Mwaipaya afikishwe Mahakamani au mamlaka zieleze alipo, Wakili wa Serikali, Christopher Marwa, alisema Polisi wamewasiliana na kampuni za mawasiliano kupata taarifa zinazoweza kusaidia kumtafuta, hata hivyo bado hawajapokea majibu.
Zaidi https://jamii.app/IGPKujielezaTwaha
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #HakiZaBinadamu

ETHIOPIA: Waziri Mkuu, Abiy Ahmed, amewapeleka Mawaziri na Maafisa wengine wa serikali kwenye mafunzo ya kijeshi, akisema nidhamu na misingi ya kijeshi vinaweza kusaidia kujenga uongozi imara na kuharakisha maendeleo ya taifa.
Miongoni mwa viongozi wanaoshiriki mafunzo hayo katika Kituo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Hurso ni Spika wa Baraza la Shirikisho, Muferiat Kamil, Waziri wa Fedha, Fitsum Assefa, pamoja na Waziri wa Afya, Mekdes Daba
Zaidi tembelea https://jamii.app/VingoziKwendaJeshi
#JamiiForums #Utawala
Miongoni mwa viongozi wanaoshiriki mafunzo hayo katika Kituo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Hurso ni Spika wa Baraza la Shirikisho, Muferiat Kamil, Waziri wa Fedha, Fitsum Assefa, pamoja na Waziri wa Afya, Mekdes Daba
Zaidi tembelea https://jamii.app/VingoziKwendaJeshi
#JamiiForums #Utawala
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Timu ya Simba imeonyesha ukubwa wake baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara 2026/27, ikimaanisha imeshinda kwa Asilimia 100 msimu huu katika ligi hiyo.
Matokeo hayo yanaifanya Simba kuendelea kusalia nafasi ya kwanza ikiwa na alama 30, ikifuatiwa na Yanga yenye pointi 25, Namungo ikiwa nafasi ya saba, pointi 15.
Zaidi https://jamii.app/SimbaVsNamungoFc
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026

Mdau, ukipata nafasi ya kupewa mtaji na wazazi, utaufanyia biashara gani?
Zaidi https://jamii.app/HardwareFuso
#JamiiForums #Maisha
Zaidi https://jamii.app/HardwareFuso
#JamiiForums #Maisha