JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau, umewahi kukutana na hili? Hali ipoje kwenye shule anayosoma mwanao?

Fuatilia zaidi, shiriki https://jamii.app/WalimuFieldPemba

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, Umewahi kumkopesha mwenza wako? Alikurejeshea?

Zaidi https://jamii.app/KumkopeshaMke

#JamiiForums #Maisha
Mdau, mtag rafiki yako ambaye ana changamoto kama hiyo.

Zaidi https://jamii.app/MatumiziLVsR

#JamiiForums #JFElimu #JFLugha
Mdau ulisikia nini kutoka kwa Konda kikakushangaza?

Zaidi https://jamii.app/KondaktaJibu

#JamiiForums #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Hayo yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando, Novemba 4, 2026 alipokuwa akichangia hoja Bungeni.

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
KIGOMA: Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Hadhara, Kigoma Kaskazini, Kata ya Nyarubanda, Novemba 4, 2026.

Zaidi https://jamii.app/SemuMkopoSerikali

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
GENEVA: Hayo ameyasema Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega wakati akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Leo Novemba 5, 2026.

Zaidi https://jamii.app/UlegaHakiZaBinadamu

#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia #Utawala