JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.6K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Nawe unaweza kuwasilisha Kero yako kupitia FichuaUovu inayopatikana katika mtandao wa JamiiForums.com📌

Fuatilia zaidi https://jamii.app/KukataTiketiMoro

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Taarifa ya Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inakuja siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa mita 8 za maji zimeibiwa Kimara Stop Over, Oktoba 31, 2026, na kusababisha kusimama kwa huduma ya maji.

DAWASA imeongeza kuwa inaendelea kushughulikia changamoto kwa Wananchi wasio waaminifu wanaoiba mita za Maji kwa matumizi ambayo bado hayajafahamika.

Zaidi https://jamii.app/DawasaMita

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026