Mdau, ni kitu gani ambacho kwako ni kigumu kukifanya japo watu wengine wanaona ni cha kawaida?
Zaidi https://jamii.app/UgumuKitu
#JamiiForums #Maisha
Zaidi https://jamii.app/UgumuKitu
#JamiiForums #Maisha
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia akaunti yao ndani ya JamiiForums.com imechapisha elimu kuhusu muungurumo wa Simba.
Mdau, sifa zipi za Simba umewahi kuzisikia? Tujuze...
Zaidi https://jamii.app/SimbaKuunguruma
#JamiiForums
Mdau, sifa zipi za Simba umewahi kuzisikia? Tujuze...
Zaidi https://jamii.app/SimbaKuunguruma
#JamiiForums
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas ameyasema hayo leo, Oktoba 10, 2026 alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari
Zaidi https://jamii.app/BodiGasDetector
#JamiiForums #JFSports
Zaidi https://jamii.app/BodiGasDetector
#JamiiForums #JFSports
Mdau, yapi maoni yako?
Shiriki Mjadala https://jamii.app/ConnectionWhatsap
#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
Shiriki Mjadala https://jamii.app/ConnectionWhatsap
#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
Nini kilikufanya ushindwe kubaki huko Mdau?😅
Shiriki Mjadala https://jamii.app/MkoaAjira
#JamiiForums #Maisha
Shiriki Mjadala https://jamii.app/MkoaAjira
#JamiiForums #Maisha
Unahitaji kuchambua wazo lako la biashara na kujiongezea maarifa mapya? Piga namba 0901760321 uulize swali lolote kwa AVA na upate majibu bila bando.
Zaidi bofya https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Zaidi bofya https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mdau, Ulipewa zawadi gani kwenye mahafali yako?
Daniel Kapangala amemzawadia mtoto wake zawadi ya Sungura wawili jike na dume katika mahafali ya kuhitimu Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tembela, jijini Mbeya na kueleza hiyo ni sehemu ya kumhamasisha kujifunza na kuingia katika shughuli za ufugaji, akiamini inaweza kuwa fursa ya kujiajiri na kujipatia kipato.
Mjadala unaendelea https://jamii.app/ZawadiMahafali
#JamiiForums #Maisha #JFElimu