JamiiForums
✔
23.8K subscribers
40.8K photos
3.62K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mdau, Ulipewa zawadi gani kwenye mahafali yako?

Daniel Kapangala amemzawadia mtoto wake zawadi ya Sungura wawili jike na dume katika mahafali ya kuhitimu Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tembela, jijini Mbeya na kueleza hiyo ni sehemu ya kumhamasisha kujifunza na kuingia katika shughuli za ufugaji, akiamini inaweza kuwa fursa ya kujiajiri na kujipatia kipato.

Mjadala unaendelea https://jamii.app/ZawadiMahafali

#JamiiForums #Maisha #JFElimu
Mdau, yapi maoni yako ?

Shiriki Mjadala https://jamii.app/KiwanjaMji

#JamiForums #Uchumi
Oktoba 6, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu 😔

Zaidi https://jamii.app/AllyApotea

#JamiiForums #HakiZaBinadamu #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ARUSHA: Hayo ameyasema Rais Samia Suluhu kupitia video iliyochezwa kwenye Mkutano siku ya ufunguzi wa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Oktoba 5 2026.

Zaidi https://jamii.app/SamiaUtawalaIPU

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
MARA: Jeshi la Polisi linamshikilia Wakili Keneth Nkiko, mkazi wa Mwigobero (28), kwa tuhuma za kumuua Magreth Richard (22) Oktoba 5, 2026, kwa kumpiga kichwani kwa kitu butu, kisha kumchoma kwa kitu chenye ncha kali maeneo mbalimbali ya mwili, uchunguzi wa awali umebaini Nkiko alimtuhumu Magreth kuwa na mahusiano na Wanaume wengine.

Zaidi https://jamii.app/NkikoAuaMpenzi

#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu
❤1