JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.8K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Kuhusu hatua za kufuata pale unapopitia udhalilishaji na ukatili mitandaoni, Mtaalamu wa Saikolojia George Chacha ameeleza: 

“Mtu lazima akubaliane kwamba kwa wakati huo anapitia kwenye kipindi ambacho yeye mwenyewe hakifurahii. Ajitahidi asiwe ‘active’ mitandao ya kijamii. Anaweza akatoka kwa muda, ‘akapause’ kwa muda ili kuepusha hali ya kujieleza eleza kwa kila mtu ili aeleweke” 

https://jamii.app/SelenaGomezInstagram

#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
UPDATES: Ikumbukwe, Septemba 11, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika "Baadhi ya vyoo katika Jengo la RITA TOWER - Dar es Salaam vina changamoto kwenye vyoo ambapo sinki zimeharibika na hazirekebishwi."

Mdau, Jengo gani lingine linahitaji maboresho kwenye miundombinu yake?

Zaidi https://jamii.app/MasinkiRitaTower

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
❤1
Kwa sasa AVA ndio habari ya mjini, hakuna gharama taarifa zote unapata, piga sasa namba 0901760321 uzungumze naye.

Zaidi https://jamii.app/AVANiAI

#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
❤1👍1
Mdau, ilikuwaje ukalizwa na matapeli? Tuambie tujifunze.

Zaidi https://jamii.app/MgangaKutapeliwa

#JamiiForums #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila ametoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke kusimamia Mzabuni aliyewauzia meza Machinga wa Manispaa ya Temeke kwa bei ya juu arudishe fedha alizozidisha kisha ziuzwe kwa bei stahiki, ameyasema hayo Oktoba 7, 2026.

Ikumbukwe, Julai 8, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “DC wa Temeke na Mkurugenzi wa Halmashauri wanachokifanya si sahihi, wameandaa meza za Wafanyabiashara wadogo wanaziuza kwa Tsh. 200,000 bei ambayo si rafiki kwa wahusika. Serikali ifanye uchunguzi kubaini uhalali wa ukusanyaji huo wa fedha.”

Zaidi https://jamii.app/ChalamilaTemeke

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, umewahi kukutana na changamoto kama hiyo ulipoenda kwenye ofisi ya umma? Ulichukua hatua gani?

Zaidi https://jamii.app/MtumishiRITA

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
❤1
Moja ya Mjadala unaoendelea ndani ya JamiiForums.com katika Jukwaa la Afya).

Jitihada za kuwasiliana na Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando (BMC) kuhusu hoja ya Mdau zinaendelea.

Zaidi https://jamii.app/BugandoMRI

#JamiiForums #JFAfya #PublicHealth
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameyasema hayo Oktoba 7, 2026, wakati wa ziara yake ya kuwatembelea Machinga wanaopangwa katika Kata ya Msigani, Mbezi.

Zaidi https://jamii.app/KupangaMachinga

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFUchumi #Utawala
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
INDIA: Mwigizaji mkongwe, Nana Patekar amefariki Dunia Oktoba 8, 2026 akiwa na umri wa Miaka 75,alipata mshtuko wa moyo katika makazi yake Dona Paula, akapelekwa Manipal Hospitali akiwa hana fahamu, madaktari walithibitisha kifo chake baada ya juhudi za kumuokoa.

Alianza filamu Mwaka 1978 na baadaye akapata umaarufu kupitia kazi kama Parinda Krantiveer, Prahaar na Salaam Bombay huku akijulikana kwa uigizaji wenye nguvu na uwezo wa kucheza nafasi mbalimbali.

Zaidi https://jamii.app/TanziaNanaPatekar

#JamiiForums #Tanzia
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina akizungumza na Wanahabari Oktoba 7, 2026 kuhusu viongozi ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa “kula” fedha za Wachimbaji wadogo waliolipia gharama ya kusafirishwa kwenda Canada kujifunza.

Ufafanuzi huo umejitokeza baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika "Waziri wa Madini, Tusaidie Wachimbaji: Tulilipia Safari ya Canada, Hatujasafiri Wala Kurejeshewa Fedha”

Zaidi https://jamii.app/JohnBina

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amesema hayo alipokuwa akizungumza kwenye kipindi cha ‘Morning Trumpet’ cha Azam TV, Oktoba 7, 2026.

Zaidi https://jamii.app/GwajimaKumsomesha

#JamiiForums #Uwajibikaji
Kuna Mdau kasema ilitumika ‘ku-screenshot’ mwizi 😂, ukweli ukoje? 

Shiriki mjadala https://jamii.app/TochiBatani

#JamiiForums #JFChitChats