JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.8K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Una lipi la kumshauri mdau huyu? Mwambie hapa https://jamii.app/IdadiWatotoKuongezeka

#JamiiForums #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo ametoa agizo hilo Oktoba 10, 2026, baada ya kukamilika kwa zoezi la usafi lililoratibiwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya kwa kushirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Ikumbukwe, Aprili 13, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Ufungaji holela wa nyaya za Intaneti Kariakoo si rafiki kwa mandhari ya Jiji.” Akibainisha kuwa nyaya mpya huongezwa bila kuondoa za zamani matokeo yake kuwa kama uchafu.

Zaidi https://jamii.app/MpogoloNyayaKariakoo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, Ubora wa huduma za usafiri kwenye njia ya kwenda mkoani kwako unakidhi vigezo?

Shiriki mjadala https://jamii.app/MagariLoliondo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Una mada au uchambuzi kuhusu filamu, nyimbo au sanaa? Tembelea sasa Jukwaa La Burudani ndani ya JamiiForums.com📌

Zaidi https://jamii.app/MhusikaSeries

#JamiiForums #JFBurudani
Si kila mabadiliko ya mwili yanahitaji maoni yako. Maneno unayoyaona ya kawaida yanaweza kumuumiza Mtu mwingine.

Je, Umewahi kuandikiwa comment ya namna hii?

Kushiriki Mjadala Bofya https://jamii.app/UmekondaSanaSalamu

#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
❤1
Tanzania imetajwa kuwa ya pili Afrika kwa idadi ya Watu wazima wenye Ugonjwa wa Kisukari, wanakadiriwa kufikia Milioni 2.9 Mwaka 2024, huku kiwango cha ugonjwa huo kikiongezeka kwa Asilimia 250 kutoka Asilimia 2.8 Mwaka 2011 hadi Asilimia 9.8 Mwaka 2024 kwa Watu wenye umri wa Miaka 20 hadi 79.

Mdau, unadhani hatua gani zichukuliwe kudhibiti kasi hii?

Soma https://jamii.app/KisukariTanzania

#JamiiForums #PublicHealth #JFAfya
Ripoti ya Uwajibikaji wa Utoaji wa Huduma za Jamii 2024/25, iliyoandaliwa na Taasisi ya WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini kuwa Vifaa Tiba vyenye thamani ya Tsh. Bilioni 5.17 havitumiki katika halmashauri 28 nchini.

Soma https://jamii.app/WajibuVifaaTiba

#JamiiForums #Uwajibikaji #HudumaZaKijamii #RipotiYaWajibu