JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.8K photos
3.62K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau, Ubora wa huduma za usafiri kwenye njia ya kwenda mkoani kwako unakidhi vigezo?

Shiriki mjadala https://jamii.app/MagariLoliondo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Una mada au uchambuzi kuhusu filamu, nyimbo au sanaa? Tembelea sasa Jukwaa La Burudani ndani ya JamiiForums.com📌

Zaidi https://jamii.app/MhusikaSeries

#JamiiForums #JFBurudani
Si kila mabadiliko ya mwili yanahitaji maoni yako. Maneno unayoyaona ya kawaida yanaweza kumuumiza Mtu mwingine.

Je, Umewahi kuandikiwa comment ya namna hii?

Kushiriki Mjadala Bofya https://jamii.app/UmekondaSanaSalamu

#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
❤1
Tanzania imetajwa kuwa ya pili Afrika kwa idadi ya Watu wazima wenye Ugonjwa wa Kisukari, wanakadiriwa kufikia Milioni 2.9 Mwaka 2024, huku kiwango cha ugonjwa huo kikiongezeka kwa Asilimia 250 kutoka Asilimia 2.8 Mwaka 2011 hadi Asilimia 9.8 Mwaka 2024 kwa Watu wenye umri wa Miaka 20 hadi 79.

Mdau, unadhani hatua gani zichukuliwe kudhibiti kasi hii?

Soma https://jamii.app/KisukariTanzania

#JamiiForums #PublicHealth #JFAfya
Ripoti ya Uwajibikaji wa Utoaji wa Huduma za Jamii 2024/25, iliyoandaliwa na Taasisi ya WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini kuwa Vifaa Tiba vyenye thamani ya Tsh. Bilioni 5.17 havitumiki katika halmashauri 28 nchini.

Soma https://jamii.app/WajibuVifaaTiba

#JamiiForums #Uwajibikaji #HudumaZaKijamii #RipotiYaWajibu
KATAVI: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa uongozi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kufuatilia na kutatua changamoto ya kuchelewa kwa mitihani ya udereva wa magari ya abiria (PSV) na magari makubwa ya mizigo (HGV), pamoja na upatikanaji wa vyeti kwa wakati, kama ilivyo kwa Wanafunzi wa VETA nyingine.

Soma https://jamii.app/VetaMpanda

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Oktoba 12, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu

Zaidi https://jamii.app/MgodiMnongo

#JamiiForums #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, amesema hayo katika Mahojiano yaliyorushwa Oktoba 7, 2026 na M & S Podcast.

Zaidi https://jamii.app/SimbakaliaJeshi

#JamiiForums #Siasa