KATAVI: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa uongozi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kufuatilia na kutatua changamoto ya kuchelewa kwa mitihani ya udereva wa magari ya abiria (PSV) na magari makubwa ya mizigo (HGV), pamoja na upatikanaji wa vyeti kwa wakati, kama ilivyo kwa Wanafunzi wa VETA nyingine.
Soma https://jamii.app/VetaMpanda
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Soma https://jamii.app/VetaMpanda
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Oktoba 12, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu
Zaidi https://jamii.app/MgodiMnongo
#JamiiForums #Uwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/MgodiMnongo
#JamiiForums #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, amesema hayo katika Mahojiano yaliyorushwa Oktoba 7, 2026 na M & S Podcast.
Zaidi https://jamii.app/SimbakaliaJeshi
#JamiiForums #Siasa
Zaidi https://jamii.app/SimbakaliaJeshi
#JamiiForums #Siasa
DAR: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Oktoba 11, 2026, Askofu wa Jimbo Katoliki la Singida Mhashamu Edward Mapunda alizuiliwa kumuona Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Antipas Lissu.
Aidha, Taarifa hiyo ya CHADEMA imesema kuwa Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti Lissu imekamilika kusikilizwa na kinachosubiriwa ni hukumu Novemba 6,2026.
https://jamii.app/ChademaAskofuLissu
#JamiiForums #HumanRights
Aidha, Taarifa hiyo ya CHADEMA imesema kuwa Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti Lissu imekamilika kusikilizwa na kinachosubiriwa ni hukumu Novemba 6,2026.
https://jamii.app/ChademaAskofuLissu
#JamiiForums #HumanRights
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mchoraji wa Katuni na Mdau wa Habari, Masoud Kipanya amesema hayo katika video aliyochapisha Oktoba 11, 2026 kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram.
Mdau, unaonaje hoja yake?
Shiriki Mjadala https://jamii.app/KipanyaUlaya
#JamiiForums #Uwajibikaji
Mdau, unaonaje hoja yake?
Shiriki Mjadala https://jamii.app/KipanyaUlaya
#JamiiForums #Uwajibikaji
Mdau, hali ya taa za kuongoza vyombo vya moto na watembea kwa miguu eneo lako ikoje?
Shiriki https://jamii.app/TaaTazaraDar
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Shiriki https://jamii.app/TaaTazaraDar
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Tuzo hizo zilizotolewa katika Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Maafisa Uhusiano na Mawasiliano Tanzania (PRST), Oktoba 8, 2026 ni; Tuzo ya Ubora katika Usimamizi wa Mawasiliano wakati wa Migogoro, Ubora katika Kampeni ya Elimu kwa Umma, Idara Bora ya Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma pamoja na Mtaalamu Bora wa Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma Tanzania Mwaka 2026 (Irene Gowelle).
Ikumbukwe, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupitia Akaunti yao ndani ya JamiiForums.com imekuwa ikijibu hoja mbalimbali za Wadau, kupokea ushauri au kutoa muongozo wa kile kinachowasilishwa na Wananchi.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/TuzoTANESCO
#JamiiForums #Uwajibikaji
Ikumbukwe, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupitia Akaunti yao ndani ya JamiiForums.com imekuwa ikijibu hoja mbalimbali za Wadau, kupokea ushauri au kutoa muongozo wa kile kinachowasilishwa na Wananchi.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/TuzoTANESCO
#JamiiForums #Uwajibikaji
Mtu anayepitia kipindi kama hiki afanye nini?
Zaidi https://jamii.app/KuangukaUmasikini
#JamiiForums #Maisha
Zaidi https://jamii.app/KuangukaUmasikini
#JamiiForums #Maisha
TANGA: Ikumbukwe, Oktoba 7, 2026, Mdau aliandika “Maji taka katika Kata ya Ngamiani - Tanga yanahatarisha usalama wa afya, hakuna hatua zilizochukuliwa licha taarifa kujulikana na Mamlaka husika.”
Zaidi https://jamii.app/TangaMajiTaka
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/TangaMajiTaka
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Una mipango unaipanga? Mwambie AVA atakunyooshea, Piga 0901760321, buree kabisaa
Zaidi https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Zaidi https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Mdau, eneo unaloishi hali ya usalama ikoje?
Zaidi https://jamii.app/MbeyaUhalifu
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/MbeyaUhalifu
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026