JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
TANGA: Ikumbukwe, Oktoba 7, 2026, Mdau aliandika “Maji taka katika Kata ya Ngamiani - Tanga yanahatarisha usalama wa afya, hakuna hatua zilizochukuliwa licha taarifa kujulikana na Mamlaka husika.”

Zaidi https://jamii.app/TangaMajiTaka

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, eneo unaloishi hali ya usalama ikoje?

Zaidi https://jamii.app/MbeyaUhalifu

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa Oktoba 11, 2026, na Nijuze, Wakili William Maduhu, ameeleza kuwa mali anazokuwa nazo mwenza wako kabla ya ndoa hubaki kuwa mali yake binafsi.

Zaidi https://jamii.app/MaduhuMaliNdoa

#JamiiForums #Sheria
Oktoba 13, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu

Zaidi https://jamii.app/MasakiMajengo

#JamiiForums #Uchumi
Moja ya mjadala unaoendelea ndani ya JamiiForums.com

Fuatilia zaidi https://jamii.app/MashineYaLuku

#JamiiForums #JFMdau2026
Simba imeendeleza moto, baada ya kuichapa Yanga magoli 2-1 katika mchezo uliopita, leo Oktoba 13, 2026 timu hiyo imerejea uwanjani na kuibamiza Mashujaa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar, ukiwa ni ushindi wa nane mfululizo katika Ligi Kuu Bara 2026/27.

Zaidi https://jamii.app/SimbaMashujaa26

#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026