JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.8K photos
3.62K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Oktoba 13, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu

Zaidi https://jamii.app/MasakiMajengo

#JamiiForums #Uchumi
Moja ya mjadala unaoendelea ndani ya JamiiForums.com

Fuatilia zaidi https://jamii.app/MashineYaLuku

#JamiiForums #JFMdau2026
Simba imeendeleza moto, baada ya kuichapa Yanga magoli 2-1 katika mchezo uliopita, leo Oktoba 13, 2026 timu hiyo imerejea uwanjani na kuibamiza Mashujaa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar, ukiwa ni ushindi wa nane mfululizo katika Ligi Kuu Bara 2026/27.

Zaidi https://jamii.app/SimbaMashujaa26

#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
Mdau, una ushauri gani kwake?

Mjadala unaendelea https://jamii.app/MtajiNaBidhaaChina

#JamiiForums #JFBiashara
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyasema hayo katika Hotuba ya “Uhuru na Maendeleo” mwaka 1968.

Leo, Oktoba 14, Tanzania inaadhimisha miaka 27 tangu kifo cha Baba wa Taifa, aliyefariki mwaka 1999.

Soma https://jamii.app/NyerereUhuruNaDemokrasia

#JamiiForums #Demokrasia #NyerereDay2026