JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
RUKWA: Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi amesema hayo wakati akihutubia katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2026 kwenye Uwanja wa Mandela, Sumbawanga.

Zaidi https://jamii.app/NdejembiMiradi

#JamiiForums #Uwajibikaji
Miaka 27 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, na hii ni moja ya nukuu katika kitabu cha 'TUJISAHIHISHE' alichoandika Mwaka 1962.

Zaidi https://jamii.app/NyerereDay2026

#JamiiForums #Utawala  #NyerereDay2026
Mdau, tuambie kitu gani kilikufanya ukahama nyumba?

Zaidi https://jamii.app/KeroWapangaji

#JamiiForums #Maisha
Komenti inapogeuka kuwa ya kuumiza, kutweza hisia au utu wa mtu, si utani tena bali ni ukatili, kuwa makini unapoweka komenti usije kuwa unafanya ukatili dhidi ya watu.

https://jamii.app/KomentiMtandaoni

#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa #HakiZaBinadamu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
UPDATES: Diwani wa Kata ya Ilemi, Baraka Zambi ameeleza hayo wakati akijibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com ambaye Oktoba 7, 2026 aliandika “Kata ya Ilemi maeneo ya Juhudi, Ilemi Mapelele na Janga kuna matukio mengi ya uhalifu, tunaomba Polisi liongeze ulinzi hasa Alfajiri na Usiku”.

Naye, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, SACP Benjamin Kuzaga amesema wanachunguza taarifa hiyo na kuiomba jamii iendelee kushirikiana na jeshi kubaini na kudhibiti uhalifu."

Zaidi https://jamii.app/IlemiUhalifu

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, akiba yako inaweza kukulisha kwa muda gani?

Shiriki mjadala https://jamii.app/AkibaUchumi

#JamiiForums #JFMaisha
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema hayo Oktoba 15, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari.

Zaidi https://jamii.app/MpinaJumuiyaMadola

#JamiiForums #Uwajibikaji
Unataka kutumia AVA?
Fuata hatua hizi

Piga simu 0901760321.

Utasikia ujumbe wa karibu na menyu ya awali.

Chagua 1, AVA, ili kupata huduma ya AVA.

Zaidi https://jamii.app/AVANiAI

#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Oktoba 15, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu

Zaidi https://jamii.app/KiteteHospitali

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFHuduma
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Jebra Kambole ambaye ni Wakili wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameyasema hayo leo Oktoba 15, 2026 alipokuwa akizungumza na Wanahabari.

Zaidi https://jamii.app/MwabukusiMo29

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Ikumbukwe, Oktoba 14, 2026, Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohana Kaunya alieleza kukamatwa kwa viongozi wao, akiwemo Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi, John Pambalu.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/KisaboPolisiPambalu

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMatukio
👍1