Je, unatumia njia gani kumlinda Mwanao dhidi ya unyanyasaji wa kimtandao? Tuambie hapa https://jamii.app/MitandaoWatoto
#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
ENGLAND: Klabu ya Manchester United imekuwa na historia ya makocha na Wachezaji walioukosoa uongozi wakiwa ndani ya klabu hiyo, kuishia kufukuzwa au kuvunjiwa mkataba baada ya kutoa kauli zao.
Mdau, unadhani shida ni nini ndani ya Man United?
Shiriki mjadala https://jamii.app/WakosoajiManU
#JamiiForums #JFSports
Mdau, unadhani shida ni nini ndani ya Man United?
Shiriki mjadala https://jamii.app/WakosoajiManU
#JamiiForums #JFSports
❤1
Kama bado unangoja nini? Piga sasa namba 0901760321
Fuatilia zaidi https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Fuatilia zaidi https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Una mada, ushauri au swali kuhusu Sheria? Tembelea Jukwaa la Sheria katika mtandao wa JamiiForums.com kupata majibu, mawazo, na miongozo kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria .
Fuatilia zaidi, shiriki https://jamii.app/MahakamaUwezo
#JamiiForums #Sheria
Fuatilia zaidi, shiriki https://jamii.app/MahakamaUwezo
#JamiiForums #Sheria
Baada ya kupoteza katika Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, Yanga imerejea kwa kishindo na kuichapa CFFA ya Madagascar katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Yanga ambayo katika Raundi ya Kwanza iliiondoa Gaborone United ya Botswana kwa magoli 3-2 huku kiwango kikiwapa shaka mashabiki, imejiweka katika nafasi nzuri ya kucheza Hatua ya Makundi kwa kuwa inasubiri mchezo wa marudio unaotarajiwa kupigwa Oktoba 21, 2026 kwenye uwanja huohuo.
Zaidi https://jamii.app/CFFAYanga
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026

Mdau, umewahi kukutana na hali kama hii? Je, ulichukua hatua gani?
Kushiriki Mjadala Bofya https://jamii.app/PichaBilaRidhaa
#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
Kushiriki Mjadala Bofya https://jamii.app/PichaBilaRidhaa
#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
Taarifa hiyo ya Wizara ya Afya inakuja siku chache baada ya Kenya kuthibitisha kisa chake cha kwanza cha Ebola aina ya Bundibugyo kwa raia wake aliyekuwa akiishi DRC, aliyeingia Kenya kupitia Uganda, akatengwa na kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Nairobi, kisha kufariki muda mchache baadaye.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/TangazoEbola
#JamiiForums #Uwajibikaji
Fuatilia zaidi https://jamii.app/TangazoEbola
#JamiiForums #Uwajibikaji
Sehemu ya alichoandika Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Bagonza, kwenye ukurasa wake wa Facebook, Oktoba 16, 2026.
Zaidi https://jamii.app/AskofuBagonzaNukuu
#JamiiForums #Demokrasia
Zaidi https://jamii.app/AskofuBagonzaNukuu
#JamiiForums #Demokrasia
❤2
KENYA: Taarifa ya Wizara imeeleza hadi sasa kati ya Watu 130 waliokutana na Wagonjwa wa Ebola, Watu 128 wameshawekwa karantini.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/EbolaKenya
#JamiiForums #Afya #PublicHealth
Fuatilia zaidi https://jamii.app/EbolaKenya
#JamiiForums #Afya #PublicHealth