JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.6K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (#DAWASA) kuchukua hatua za haraka kurekebisha Mifereji inayotiririsha Majitaka, ili kuepuka mlipuko wa Magonjwa kwa Wakazi na Wafanyabiashara wa maeneo hayo.

Soma https://jamii.app/MajitakaSokoniMabibo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Zainab Athuman Katimba, amesema hayo Oktoba 27, 2026 Bungeni wakati akijibu swali la Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Simiyu, Tina Chenge kuhusu ugawaji wa Mirathi.

Zaidi https://jamii.app/ZainabMirathi

#JamiiForums #Sheria
Mdau, tuambie ulikuwa unatumia mtindo gani na kwanini?

Shiriki https://jamii.app/MtindoWaBegi

#JamiiForums #JFLifestyle #JFChitChats
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema hayo Bungeni, leo Oktoba 27, 2026.

Zaidi https://jamii.app/MakondaOktoba29

#JamiiForums #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Oktoba 27, 2026, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema Kamati kuu ya Chama hicho inaendelea kusisitiza Uchunguzi huru wa Mauaji yaliyotokea Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata.

Zaidi https://jamii.app/MnyikaOktoba29

#JamiiForums #Demokrasia #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, amesema hayo Bungeni Oktoba 27, 2026, wakati akisoma azimio la kumpongeza Rais Samia Suluhu, kwa kuridhia na kuwezesha kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 147 wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU), jijini Arusha kuanzia Oktoba 23 hadi 26, 2026.

Soma https://jamii.app/SamiaMazungumzoAmani

#JamiiForums #Siasa
MOROGORO: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kufuatilia madai ya barua za maombi ya kubadilishiwa muundo wa utumishi kwa watumishi waliojiendeleza kielimu yaliyokwama Masijala ili wapate haki zao kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa umma.

Soma https://jamii.app/MoroDCBaura

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
PWANI: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kufuatilia na kutatua changamoto ya kuchelewa kwa vyeti vya wahitimu wa Kozi ya Basic Driving katika chuo cha IFDC.

Soma https://jamii.app/UderevaIFDCRufiji

#JamiiForums #JFMdau2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Timu ya #Yanga imerejesha makali katika Ligi Kuu Bara, hiyo ni baada ya kuifunga Mashujaa FC magoli 2-1 kwenye Uwanja wa KMC Complex. Goli la Mashujaa limefungwa na Crispin Ngusi wakati ya Yanga wafungaji ni Peter Shalulile na Clement Mzize.

Ushindi huo umeifanya Yanga kufikisha pointi 22 katika michezo 9 ikiwa nafasi ya pili nyuma ya Simba yenye alama 24 katika mechi 8, upande wa Mashujaa imebaki na alama 12 katika michezo 9, ipo nafasi ya 8.

Mdau umeonaje ‘ball’ la Vijana wa Jangwani?

Zaidi https://jamii.app/YangaMashujaaDar

#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
❤1
Piga Namba 0901760321 kuwasiliana na AVA kwenye simu ya aina yoyote ile uweze kupata huduma ya AI.

Zaidi  https://jamii.app/AVANiAI

#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA