JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.6K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau, ni kitu gani ulinunua kwa mkumbo na sasa hivi hukitumii tena?

Zaidi https://jamii.app/KununuaKitu

#JamiiForums #Maisha
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ARUSHA: Akizungumza na Waandishi wa Habari, Novemba 1, 2026, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema ameeleza namna alivyompendekeza John Heche, kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho katika Uchaguzi wa ndani Mwaka 2025.

Zaidi https://jamii.app/LemaHeche

#JamiiForums #Siasa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ARUSHA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, amesema amewahi kufanya kikao na Makamu wa Rais aliyejiuzulu, Emmanuel Nchimbi, kuhusu Lissu kuruhusiwa kuonana na Viongozi wakuu wa Chama chake.

Zaidi https://jamii.app/LemaNchimbi

#JamiiForums #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ARUSHA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema hayo Novemba 1, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari.

Zaidi https://jamii.app/LemaDalali

#JamiiForums #Uwajibikaji
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema amesema hayo leo Novemba 1, 2026 Jijini Arusha katika mkutano wake maalumu na Waandishi wa Habari.

Zaidi https://jamii.app/LemaMaridhiano

#JamiiForums #Uwajibikaji #Siasa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Sehemu ya alichokisema Godbless Lema ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Novemba 1, 2026 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari jijini Arusha.

Zaidi https://jamii.app/LemaChuki

#JamiiForums #Uwajibikaji #Siasa
Mdau, unawezaje kumvumilia Mwenza asiye na kazi?

Shiriki Mjadala https://jamii.app/MwenzaKazi

#JamiiForums #JFMaisha
DAR: Ikumbukwe, Oktoba 26, 2026, Mdau wa JamiiForums.com alitoa wito kwa mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kurekebisha Mifereji inayotiririsha Majitaka, ili kuepuka mlipuko wa Magonjwa kwa Wakazi na Wafanyabiashara wa maeneo hayo.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/MitaroMabibo

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFAfya
❤2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Rais Samia ameyasema hayo leo, Novemba 2, 2026, Ikulu ya Chamwino, wakati wa kuwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni, ikiwemo Dunford Mpelumbe, Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora pamoja na Omar Ali Omar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo

Zaidi https://jamii.app/SamiaHakiZaBinadamu

#JamiiForums #JFMatukio #HakiZaBinadamu
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Marekani (FAA) imesema ndege hiyo ilikuwa aina ya Learjet 60, iliyokuwa ikielekea Bahamas kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Austin-Bergstrom Novemba 1, 2026.

Waziri wa Uchukuzi, Sean Duffy, amesema ndege hiyo ilianguka na kusababisha vifo vya abiria wote waliokuwemo kabla ya kushika moto na kulipuka. Kwa mujibu wa rekodi za Bodi ya Taifa ya Usalama wa Usafirishaji (NTSB), ajali hiyo inatajwa kuwa ya pili kusababisha vifo vingi zaidi nchini humo mwaka huu.

Zaidi https://jamii.app/NdegeKuanguka

#JamiiForums #HakiZaBinadamu
❤1
Novemba 2, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu📌

Kusoma zaidi kwa kirefu bofya https://jamii.app/WaaandishiKunyanyaswa

#JamiiForums #Uwajibikaji #UhuruWaHabari