JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.6K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau, chama chako cha Wafanyakazi kinatimiza wajibu wake ipasavyo inapotokea kunahitajika msaada wao?

Shiriki Mjadala https://jamii.app/KujitoaTughe

#JamiiForums #JFMdau2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KATAVI: Mdau ameandika "Hivi karibuni, nilipokuwa Mtaa wa Madukani, Buzogwe na Makanyagio, nilikuta uchafu mwingi umetupwa barabarani na hakuna magari ya kuzoa taka yanayopita mara kwa mara. Hali ni mbaya zaidi katika Mtaa wa Nsemlwa kwa Muunga Mitupa, ambako kwa zaidi ya miaka minne hakuna gari la kuzoa taka lililowahi kupita."

Ameongeza "Mamlaka ya Mpanda husika zishughulikie kero hii kwa haraka kabla ya mvua ya El Nino haijaanza na kusababisha mlipuko wa magonjwa."

Zaidi https://jamii.app/MpandaUchafu

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Novemba 4, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu📌

Fuatilia zaidi https://jamii.app/BeiMafutaNov

#JamiiForums
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Hali ilivyokuwa Mkoani Mbeya, Novemba 3, 2026 katika maeneo ya Nzovwe na Simike baada ya mvua kunyesha kwa muda mfupi.

Unadhani hili linatokana na miundombinu mibovu au utayari kwenye majanga haya?

Zaidi https://jamii.app/MvuaMbeya

#JamiiForums
Moja ya Mjadala unaoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com📌

Fuatilia zaidi https://jamii.app/TiketiMagariSGR

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
❤1
Mdau, Unadhani nini kifanyike kuzuia matukio ya aina hii?

Fuatilia zaidi, shiriki https://jamii.app/KimaraMitaMaji

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, umewahi kukutana na hili? Hali ipoje kwenye shule anayosoma mwanao?

Fuatilia zaidi, shiriki https://jamii.app/WalimuFieldPemba

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, Umewahi kumkopesha mwenza wako? Alikurejeshea?

Zaidi https://jamii.app/KumkopeshaMke

#JamiiForums #Maisha
Mdau, mtag rafiki yako ambaye ana changamoto kama hiyo.

Zaidi https://jamii.app/MatumiziLVsR

#JamiiForums #JFElimu #JFLugha