Mdau, mtag rafiki yako ambaye ana changamoto kama hiyo.
Zaidi https://jamii.app/MatumiziLVsR
#JamiiForums #JFElimu #JFLugha
Zaidi https://jamii.app/MatumiziLVsR
#JamiiForums #JFElimu #JFLugha
Mdau ulisikia nini kutoka kwa Konda kikakushangaza?
Zaidi https://jamii.app/KondaktaJibu
#JamiiForums #Maisha
Zaidi https://jamii.app/KondaktaJibu
#JamiiForums #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Hayo yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando, Novemba 4, 2026 alipokuwa akichangia hoja Bungeni.
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
KIGOMA: Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Hadhara, Kigoma Kaskazini, Kata ya Nyarubanda, Novemba 4, 2026.
Zaidi https://jamii.app/SemuMkopoSerikali
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Zaidi https://jamii.app/SemuMkopoSerikali
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
GENEVA: Hayo ameyasema Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega wakati akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Leo Novemba 5, 2026.
Zaidi https://jamii.app/UlegaHakiZaBinadamu
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia #Utawala
Zaidi https://jamii.app/UlegaHakiZaBinadamu
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia #Utawala
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
GENEVA: Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Novemba 5, 2026.
Zaidi https://jamii.app/UlegaOktoba29
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #Utawala
Zaidi https://jamii.app/UlegaOktoba29
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #Utawala
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
GENEVA: Hayo yamesemwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega wakati akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Leo Novemba 5, 2026.
Zaidi https://jamii.app/UlegaUtawaSheria
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia #Utawala
Zaidi https://jamii.app/UlegaUtawaSheria
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia #Utawala
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
GENEVA: Hayo ameyasema Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega wakati akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Leo Novemba 5, 2026.
Zaidi https://jamii.app/UlegaUtawaSheria
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia #Utawala
Zaidi https://jamii.app/UlegaUtawaSheria
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia #Utawala
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Hatma ya Mwenyekiti wa CHADEMA, #TunduLissu, inatarajiwa kujulikana leo Novemba 6, 2026 wakati Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, itakapotoa hukumu katika shauri la kesi ya uhaini chini ya Jaji Dunstan Ndunguru (Kiongozi wa Jopo), Jaji James Karayemaha na Jaji Ferdinand Kiwonde.
Ikumbukwe, Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025, akafunguliwa mashtaka rasmi Mahakamani siku iliyofuata katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Miezi kadhaa baadaye kesi ilihamishiwa Mahakama Kuu kwa ajili ya hatua za usikilizwaji kamili mpaka kufikia hatua ya sasa ya hukumu kutolewa.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/HkmKesiLissu6Nv
#JamiiForums #JFMatukio

❤3
Katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Mahakama haijamkuta na hatia ya kosa la uhaini.
Hata hivyo, Mahakama imemtia hatiani Lissu kwa kosa dogo la uchochezi ndani ya shtaka hilo.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/HkmLissuUchochezi
#JamiiForums #JFMatukio
Hata hivyo, Mahakama imemtia hatiani Lissu kwa kosa dogo la uchochezi ndani ya shtaka hilo.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/HkmLissuUchochezi
#JamiiForums #JFMatukio
❤1
Mahakama imemhukumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kifungo cha miaka minne gerezani kwa kosa la uchochezi kwa kuvuruga uchaguzi, kitendo ambacho Jaji Ndunguru amekitafsiri kuwa ukiukwaji wa Katiba. Akitoa uamuzi huo kwa kutumia Kifungu cha 35 kutokana na Kifungu cha 390 cha Kanuni ya Adhabu kutobainisha kiwango cha adhabu, Jaji amesisitiza katika kudai haki, mtu hapaswi kuingilia haki za wengine.
Pamoja na mahakama kuzingatia hoja za afya na ugonjwa wa mshtakiwa, imeelekeza kuwa maombi yoyote ya dhamana yatafanyika tu baada ya yeye kuanza kutumikia adhabu hiyo gerezani, huku akiwa na haki ya kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo. Awali Lissu alikabiliwa na shtaka la uhaini lakini Mahakama ilimuachia huru kwa shtaka hilo baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha nia ya kutenda kosa hilo.
Zaidi https://jamii.app/Lissu4YrsJela

Nawe unaweza kuwasilisha Kero yako kupitia FichuaUovu inayopatikana katika mtandao wa JamiiForums.com📌
Fuatilia zaidi https://jamii.app/KukataTiketiMoro
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Fuatilia zaidi https://jamii.app/KukataTiketiMoro
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026