PipsPowerFx_Academy
148 subscribers
881 photos
40 videos
15 files
48 links
Knowledge is a source of experience
Download Telegram
Hit tp
✅✅
Deposit 64.30$
Profits 865.61$
Withdrawal 1017.56$

Within a week 😊
Kwa namna ya kipekee sana napenda kukualika wewe mkazi wa IRINGA, MBEYA, TUNDUMA na Hata wewe ulie MALAWI na SUMBAWANGA na maeneo mengine ya karibu na MBEYA kwenye seminar yetu nzuri sana ya kibiashara.

Tarehe 26 November 2022, tutakuwa na seminar nzuri sana itafanyika katika venue ya GRCITY HOTEL, MBEYA ambayo itakuwa na mchango mkubwa sana kwako, ambae unajua forex ama haujui kabisa na hata wewe ambae unafanya biashara nyingine karibu upate kujifunza nasi.

Changamoto kubwa ya Traders huwa inaanza kwenye maarifa ya mtu juu ya biashara na namna ya ku-manage kuwa profitable kwa mua mrefu, hivyo seminar hii itakusaidia wewe zaidi.

Ada ni 53,000/= Tsh ambayo ina include breakfast, drinks and bites pamoja na entrance yako kwenye seminar.

Kwa mawasiliano +255719481952

Payment via Tigopesa 0719481952 (Paul Shija)

Nafasi ni 25 hadi sasa zimebaki 15 wahi sasa..
Mbeya are ready 🟢🟢🟢📈📈
Hellow traders
PRIVATE PROGRAM.
Learning through live webinars and videos.

From 27 March 2023

Contents;-
1. Recent & Fresh zones

2. Zones, Entries & Exit

3. Break & Retest (secret)

4. Trading psychology.

5. How to identify continuation patterns (Flags)

6. How to simply your analysis for day traders.

7. Trading Wisdom.

What you receive is more compared to what you give. I decided to give you what I've, and what helped me since 2019.

Fee 65,500 Tsh
Tigopesa
0719481952 (Paul Shija)

Hilo ndio somo nilipaswa nifundishe kidogo mwaka jana Mwanza, Mbeya na Dar.

Ahsante 😊
Habari ya asubuhi traders, leo ningependa kuongelea kitu kinaitwa
TRADING SYSTEMS.

Tujue ni kitu gani.?
Tujue kinafanya kazi vipi.?
Tujue faida na hasara zake.!
Tujue matokeo yake.!
Tujue kwanini ni muhimu.
Tujue tunakipataje
Tujue huwa tunakipotezaje
Tujue tunakitunzaje
Tujue tunakiongezaje
Na Tujue kinanguvu gani.
Ngoja niwape maana nzuri ya kuelewa hiko ni kitu gani.😊
Trading system is a method of trading forex that is based on a series of analyses to determine whether to buy or sell a currency pair with pre-set procedures to determine the entry and exit points as well as risk management criteria.
Ndani ya Trading System kuna vitu hivi:-
1. Procedures
2. Risk management
3. Mental management
4. Trading Rules
5. Trading strategies
6. Consistency
Sasa hivi vitu vinafanyaje kazi.?
TRADING SYSTEM.

1. Procedure.
Hapo hio system inatakiwa iwe na utaratibu rasmishi wa trader kuutumia nyakati zote anapotrade ambapo inakuwa Pre-Procedure kwanza yaani before kuingia sokoni lazima kuwe na utaratibu maalum.

Hapo usione traders wengine wanakuwa na notebook wananote chini walicho analysis au walicho ona. Hio tunaita Procedure yaani mchakato mzima
2. Risk management.
Kipengele hiki wengi mnakifahamu ila kwenye huku kwenye system kinatakiwa kizingatiwe kwa kufuata sheria na kanuni za system yako ilivyo.

Zingatia risk uliojiwekea, hasara kubwa sio ile unayo ipata wakati wa trading ila ni ile pesa uliotoa kama faida jinsi utakavyo itumia ndio ita kueleza kesho utakuwa na hali gani.
3. Mental management.
Hiki ni kitu ambacho kinapaswa kiwepo ili swala la emotions lisikusumbue.

Elewa kuwa loss unayopata kwa uzembe inaumiza kuliko uliopita kwa target yako ya loss. Mental health upande wa trading inawapiga traders wengi sana.

Hapo tunasomaga sana psychology ila kwenye seminar hii ntafundisha njia ya tofauti ku-overcome hali hio through Bible words na mifano mengine. We'll go spiritual
Kipengele no. 4,5 and 6 ntavielezea vyema kwenye seminar 😊