Listen, unacho kiona (successful in Forex) hio ni picha ya mbele sio mwanzo wako.
Mungu haleti mwanzo kabla hajakuonesha mbele itakuaje.
Mungu haleti mwanzo kabla hajakuonesha mbele itakuaje.
Yeremia 29:11
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
Mwisho unaozungumziwa hapo ni FUTURE, kwamba mwisho wa hiko unachowaza huwa ni wa Amani, huwa wa Tumaini huwa wa baraka.
So usistruggle sana kubadili mazingira haraka, unapohisi kuumia na kukata tamaa kumbuka kuwa Mungu anakuwazia mema, kumbuka yale uliokuwa unayawaza kipindi unaanza.
Join me on this seminar, bado hatujaanza sababu natumaini kuna mtu bado hajajoin na inampasa awepo kwenye seminar hii ili aanze kuona matunda.