Tanzania Tech
2.05K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.77K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Tanzania Tech pinned «Habari kwa wale mnaotaka kujiunga na tanzania tech group sasa linapatikna kupitia hapa @tanzaniatechgroup ni muhimu kufuata vigezo na masharti hapa https://tanzaniatech.one/vigezo-na-masharti-ya-group Yapo mambo mengi sana utajifunza humu hivyo ni muhimu…»
Mambo Ambayo Utegemee Kuyapata Kwenye Group Hil

1. Njia za Uhakikia za Kutengeneza Pesa Mtandaoni
2. Msaada wa Maswala ya Teknolojia
3. Jinsi ya Kuanzisha na Kumiliki Tovuti na Apps
3. Taarifa za Muhimu za Maswala ya Teknolojia
4. Msaada kutoka Kwetu kwaajili ya Kurudisha Kwa Jamii
5. Ajira kwenye upande wa Teknolojia.
6. Na mambo mengine mengi..

JIUNGE HAPA @tanzaniatechgroup

Hakikisha unaendelea kuwa kwenye Group la Tanzania Tech pia hakikisha unafuata vigezo na masharti. Tafadhali!
Moja kati ya Njia ambayo ni bora sana ya kutengeneza PESA MTANDAONI ni pamoja na kuwa na biashara ambayo inajiendesha yani (HUDUMA) bila kuwa na haja ya kusimamia mara kwa mara. Ukiangalia biashara nyingi ambazo zinatengeneza pesa nyingi mtandaoni ni biashara zinazo jiendesha. Kwa Mfano UBER haina magari bali inategemea wenye magari ndio wao watengeneze pesa, INSTAGRAM wao haweki content yoyote bali watu wenye akaunti zao ndio wanaikuza Instagram kwa kuweka Content zao. Zaidi ya Asilimia 50 ya mapato ya GOOGLE ni matangazo na matangazo hayo Google Haifanyi chochote zaidi ya kulipa asilimia chache kwa watu wenye Blogs na pia wanaoweka Matangazo ni watu hao hao. Pia ALIBABA, ALIEXPRESS, AMAZON zote hizi hazina bidhaa binafsi bali wao hutegemea wauzaji wauze bidhaa zao. Hii inaonyesha kuwa kutengeneza HUDUMA ni bora zaidi kuliko kufikiria kuanzisha BLOG ya kuweka Content kila siku kwani hii inakuitaji wewe kuwepo hapo ndio uweze kutengeneza pesa. Ukitengeneza Huduma itakusaidia kutengeneza Pesa zaidi na kwa haraka.
Habari, Kwa mtu yoyote mwenye website au app yake humu ndani unaweza kuwasilina nasi inbox au kwa kuweka comment kwenye post hii na kuelezea app yako ikiwa pamoja na link ya app kwenye soko la Play Store au App Store. Pia kama ni link ya website iwe ni home page pakee. Hakikisha website au App yako ina tija sio website ambazo tumesha zizoea, hakikisha uweki link ambazo ziko kinyume na sheria za group/channel hii. LINK NI MOJA TU KWENDA KINYUME NA VIGEZO NA MASHARTI KUTAFANYA UTOLEWE KWENYE GROUP/CHANNEL.