Tanzania Tech
2.06K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.77K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Kivinjari (Browser) Maalum kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu
https://www.tanzaniatech.one/2023/03/browser-maalum-kwa-waislamu/
Katika kukaribia kipindi hiki cha mwezi wa ramadhani kama wewe ni mmoja wa Waumini wa Dini ya Kiislamu basi ni muhimu kusoma makala hii. Sasa kama ulikuwa hujui, kuna aina mpya ya browser ambayo imetengenezwa maalum kwa waumini wa dini ya kiislamu. Browser hiyo au kivinjari hicho kinakupa uwezo wewe muslamu kufanya mambo mbalimbali ambayo […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Rahisisha Matumizi ya Windows Kupitia “GodMode”
https://www.tanzaniatech.one/2023/04/godmode-kwenye-windows-10/
Mfumo wa Windows 10 na Windows 11 unakuja na sehemu mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kufanya vitu mbalimbali kwa haraka na urahisi. Japokuwa sehemu hizi nyingi zinapatikana kwa urahisi, lakini zipo baadhi ya sehemu ambazo kuwezi kuzipata kwa urahisi hadi uwe mtundu kidogo. Moja ya sehemu hiyo ambayo ningependa nikujulishe siku ya leo ni sehemu ya […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Code za Siri za Smartphones Mbalimbali (Njia Rahisi)
https://www.tanzaniatech.one/2023/04/code-za-siri-za-smartphone/
Android ni moja kati ya mfumo ambao una mambo mengi sana, hadi sasa ni mambo machache sana ambayo tayari watumiaji wa kawaida wanafahamu kuhusu mfumo huu. Kuliona hilo leo Tanzania tech tunakuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia kujua code za siri za simu yako ikiwa pamoja na simu nyingine kama Samsung na simu nyingine. Tofauti […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Samsung na Infinix naweza sema ni makampuni pendwa kutokana na ubora wa simu zao, Samsung imekuwa ikiaminiwa kwa muda mrefu sasa lakini swala bei limekuwa pasua kichwa na ndipo wengi wetu kutokana na hali zetu tumekimbilia kilichobora kiutendaji kazi na bei hiki ndicho nilichogundua wakati wa pitapita zangu mitandaoni na kukutana na comment kama hii […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Kampuni ya simu za mkononi Infinix hivi majuzi ilizindua Infinix HOT 30 kwa nchi za ugaibuni. Sasa, inajiandaa kuzindua Infinix HOT 30 nchini Tanzania. Infinix kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii @infinixmobiletz inahashiria ujio wa simu hiyo April 25. Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali duniani kama GIZMOCHINA, KLGadgetTV na nyenginezo zimedai kuwa Infinix HOT […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech