Tanzania Tech
2.07K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.76K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Mambo Ambayo ni Adui wa Battery ya Smartphone Yako
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/06/battery-ya-smartphone/
Battery ni chanzo cha wewe kuweza kusoma makala, hii ndio maana leo nimeona tuongelee kidogo kuhusu battery ili kusudi uweze kuendelea kusoma makala za Tanzania Tech kila siku bila kuwa na wasiwasi wa battery ya smartphone yako. Kupitia makala hii nitaenda kukujuza mambo kadhaa ambayo ni adui mkubwa wa battery ya simu yako, mambo ambayo […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jiandae na Ujio wa Simu Mpya za Infinix NOTE 30 Tanzania
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/06/simu-mpya-za-infinix-note-30/
Infinix Tanzania yazindua matoleo mapya katika series ya NOTE 30, uzinduzi wa Infinix NOTE 30, NOTE 30 PRO na NOTE 30 VIP ambao ulifanyika mwishoni mwa wiki, Infinix imeweka rekodi mpya ya uchezaji games na utendakazi kwa ufanisi kupitia matoleo hayo. Kwa kichakataji chake cha Dimensity 8050 5G, NOTE 30 Vip 5G ina matumizi bora […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Apple’s New 15-Inch MacBook Air is Here with M2 Processor
https://www.tanzaniatech.one/15-inch-macbook-air-m2-processor/
Exciting news! The long-awaited 15-inch version of the MacBook Air has finally arrived. Apple has introduced the new MacBook Air with Retina display in a stunning 15.3-inch size, boasting 500 nits of brightness and support for 1 billion colors. The bezels surrounding the screen have been elegantly slimmed down to just 5mm, while a small […]
Apple Unveils iOS 17, with New Features and Improvements
https://www.tanzaniatech.one/apple-unveils-ios-17/
Apple has recently announced the highly anticipated release of iOS 17, an extensive upgrade that promises to enhance the communication experience for iPhone users. iOS 17 New Features Packed with new features and improvements, this major update focuses on refining key apps like Phone, FaceTime, and Messages while introducing innovative functionalities such as Journal and […]
Apple introduces macOS Sonoma The Next Generation of MacOS
https://www.tanzaniatech.one/macos-sonoma/