Tanzania Tech
2.07K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.76K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Baada ya kuwepo na teetsi nyingi kuelekea kuzinduliwa kwa simu mpya za Apple, hatimaye Apple wametoa tarehe husika ambapo tukio hilo la uzinduzi litafanyika. Tukio hilo litakuwa tarehe 12 September, takribani wiki mbili kutoka sasa. Apple tayari wameza kutuma mialiko kwa watu maalumu kushiriki katika tukio hilo, ambapo Apple wanatarajiwa kutangaza Simu za iPhone 15, […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Dunia ya mitandao ya kijamii inazidi kuleta mabadiliko na uvumbuzi mpya kila siku. Habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaopenda kushiriki na kuunganika na marafiki zao na jamii kwa njia ya pekee. Huduma maarufu ya mtandao wa kijamii “Threads,” iliyokuwa inapatikana kupitia apps sasa inapatikana kupitia tovuti. Threads, ambayo awali ilikuwa inapatikana kwenye […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
OpenAI Mbioni Kuingiza Takribani Dola Bilioni 1 Kwa Miezi 12
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/openai-mapato-miezi-12/
Tangu kuanza kwa mbio za maendeleo ya mifumo ya akili bandia, kampuni ya OpenAI, ambayo ndiyo iliyotengeneza mfumo maarufu wa ChatGPT imekuwamstari wa mbele kuongoza mbio hizo, huku pia ikiwa ni moja ya wafaidika wakubwa na mapato ya teknolojia hii ya Akili bandia. OpenAI tayari inatajwa kuwa na thamani ya taribani Dola za Kimarekani Bilioni […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
TECNO Camon 20 Mr Doodle Yatua na Ubunifu Huu
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/08/tecno-camon-20-mr-doodle/
Baada ya design ya magic skin, sasa TECNO imeongeza ubunifu wa sanaa katika muundo w toleo jipya la camon 20 lenye kufahamika kama CAMON 20 Series Mr Dooble Edition. CAMON 20 Series ya Mr Dooble hutumia teknolojia ya kubadilisha rangi kulingana na mabadiliko ya tabia ya Mwezi, inachanganya michoro ya graffiti ya Mr Dooble na […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Kutumia Aina Mbalimbali za AI Kwa Wakati Moja
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/09/jinsi-ya-kutumia-ai-chat-bots/
Katika ulimwengu wa AI ni wazi kuwa zipo aina mbalimbali za AI Chat Bots au Language Model ambazo pengine inawezekana ulikuwa huzijui. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia mpya na rahisi ya kutumia AI kama ChatGPT na nyingine nyingi kwa pamoja na kwa urahisi. Njia hii ni rahisi na huitaji kupakua programu nyingi kwa kwenye […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Apps Nzuri Kwaajili ya Kupakua Video za Aina Yoyote
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/09/kupakua-video-za-aina-yoyote/
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao unapendelea kupakua video mtandaoni basi makala hii ni kwaajili yako. Haijalishi unataka kupakua movie, video kutoka mitandao ya kijamii au video yoyote ile apps hizi zitakusaidia kufanya yote hayo kwa urahisi. Basi bila kupoteza muda moja kwa moja twende tukanagalie apps hizi ambazo na uhakika utazifurahia. Kwa Ajili […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Vodacom Tanzania Introduced eSIM Cards
https://www.tanzaniatech.one/vodacom-tanzania-esim/