Tanzania Tech
2.07K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.76K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android njia hii inakuhusu, kupitia njia hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia kubadilisha sehemu ya kamera ya mbele kuwa kitufe maalaum, yaani kama simu yako ina muonekano kama picha hapo chini basi njia hii ni kwaajili yako. Haijalishi sehemu hiyo ya kamera ina kamera mbili au […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Kama wewe ni mtumiaji au mpenzi wa simu mpya za iPhone basi unaweza kutazama mubashara (Live) uzinduzi wa simu mpya za iPhone 15 ikiwa pamoja na bidhaa nyingine kutoka kampuni ya Apple. Kama unataka habari zaidi utazipata mara baada ya uzinduzi huu tutakuletea yote ya muhimu kuhusu simu hizo ikiwa na bidhaa nyingine mpya za […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Simu Mpya za iPhone 15 Pro na 15 Pro Max (Mabadiko Muhimu)
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/09/simu-mpya-za-iphone-15-pro-na-15-pro-max/
Hatimaye kampuni ya Apple imezindua rasmi matoleo mapya ya simu zake za iPhone 15, na moja kwa moja twende nikujuze yote ya muhimu kwenye simu hizi tukianza na matoleo ya iPhone 15 Pro na iPhone 15 Pro Max. Muundo Kwa kuanza na muundao simu mpya za iPhone 15 Pro na 15 Pro Max zinakuja na […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Mfumo wa iOS 17 Kupatikana Rasmi September 18 (2023)
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/09/mfumo-wa-ios-17/
Pamoja na uzinduzi wa simu mpya za iPhone 15, pamoja na iPhone 15 Pro kampuni ya Apple pia imetengaza kuzindua rasmi mfumo wa iOS 17 ambao ni mfumo wa maboresho wa iOS 16. Kwa mujibu wa Apple mfumo wa iOS 17 ambao ulikuwa kwenye majaribio kwa muda, hivi karibuni kuanzia September 18 (Mwezi huu wa […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Haya Hapa Usiyoyajua Kuhusu Oraimo Freepods Lite
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/09/oraimo-freepods-lite/
Tarehe 9 Agosti 2023 ndio siku ambayo earbuds mpya kutoka oraimo ambazo zinaitwa “FreePods Lite” ziliingia sokoni rasmi. Kampuni ya oraimo imejibebea umaarufu sana kwa kutengeneza vifaa vya kielektroniki vyenye ubora wa hali ya juu, na safari hii imeleta bidhaa hii mpya yenye sifa kemkem na ikiwa na bei ya chini sana. Oraimo FreePods Lite […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Zifahamu Apple Watch Series 9 pamoja na Watch Ultra 2
https://www.tanzaniatech.one/sw/2023/09/apple-watch-series-9-na-watch-ultra-2/
Ukiachana na simu mpya za iPhone 15 zilizotangazwa hapo juzi, Apple pia walitangaza saa janja (smart watches) mpya kutoka kwao. Apple walitangaza saa mbili, Watch Series 9 na Watch Ultra 2. Saa hizi ni maboresho kutoka kwenye Matoleo yaliyopita ya Series 8 na Watch Ultra. Kila Saa imefanyiwa mabadiliko kadhaa, nayo tutayatazama kama ifuatavyo. Apple […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech