Katika ulimwengu huu wa sasa ni wazi kuwa ni muhimu sana kwa watoto walio na umri unaotakiwa kisheria kuwa na nyezo bora za kupata elimu ikiwa pamoja nyezo bora za mawasiliano kwaajili ya kuwasiliana na wazazi wote wawili. Hii ni muhimu sana hasa pale watoto hao wanapo kuwa mazingira ya nyumbani. Lakini wote tunakubaliana kuwa […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Kujua Mafile Yanayochukua Nafasi Kubwa (Kompyuta)
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/mafile-makubwa-kompyuta/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/mafile-makubwa-kompyuta/
Kama wewe ni mtumiaji wa kompyuta na umekuwa ukiona kompyuta yako inaiishiwa na nafasi au storage mara kwa mara basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii nitakuonyesha njia rahisi na ya haraka ambayo itakusaidia sana kuweza kujua ni file gani au programu gani ambayo inachukua nafasi zaidi kwenye kompyuta yako. Njia hii […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Ku-sign na Ku-edit PDF Kupitia Smartphone
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/kuedit-pdf-kupitia-smartphone/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/kuedit-pdf-kupitia-smartphone/
Kama wewe ni mwanafunzi au mfanyakazi basi ni wazi kuwa umeshawahi kukutana na PDF, PDF maana yake ni “Portable Document Format” hii ikiwa ina maana ni aina ya document ambayo ni nyepesi zaidi au rahisi. PDF ni rahisi kutumika kwa mtu yoyote yule kwani hata sasa unaweza kutuma aina hiyo ya document kupitia WhatsApp, mbali […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Kupata Namba za Simu za Zamani Ulizopoteza
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/namba-za-simu-zilizopotea/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/namba-za-simu-zilizopotea/
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wamepoteza namba za simu za watu ambao hapo zamani ulikuwa na namba zao basi njia hii itakusaidia sana. Kupitia njia hii nitakuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia mtandao wa Facebook kuweza kupata namba za simu za zamani ambazo umepoteza, njia hii ni rahisi sana na mtu yoyote mwenye […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Wezesha (PIP) Picture in Picture Kwenye Video Yoyote (Chrome)
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/jinsi-ya-kuwezesha-pip-picture-in-picture-kwenye-video-chrome/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/jinsi-ya-kuwezesha-pip-picture-in-picture-kwenye-video-chrome/
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kufanya kazi kwenye kompyuta yako huku unaangalia video basi makala hii ni kwaajili yako. Kupitia njia hii nitakuonyesha jinsi ya kuwezesha PIP au Picture in Picture Mode kwenye video yoyote kupitia Chrome. Kitu cha muhimu ni kuhakikisha kuwa unatumia browser kwenye kifaa chako hapa na maana computer […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Kuondoa Simu Yako kwenye Hali ya Kustaki
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/tatizo-la-simu-kustaki/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/tatizo-la-simu-kustaki/
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanakuwa na tatizo la simu yako kustaki mara kwa mara basi makala hii ni kwa ajili yako. Kama unavyojua, simu nyingi za Android za sasa zinakuja zikiwa zimefungwa moja kwa moja na hauwezi kufunguka simu hiyo kwa namna yoyote. Ni kweli kwamba njia rahisi ya kuweza kuondoa simu […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Zifahamu Hizi Hapa Bei za Simu Mpya za Redmi Note 13
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/bei-za-simu-mpya-za-redmi-note-13/
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/01/bei-za-simu-mpya-za-redmi-note-13/