Tanzania Tech
2.07K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.76K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Jinsi ya Kuongeza Speed ya Internet Kwenye Kompyuta
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/03/kuongeza-speed-ya-internet-window/
Kwa namna moja ama nyingine wengi watu hapa ni lazima tumewahi au tunatumia internet kwenye kompyuta, lakini najua pia ni watu wengi sana wanakuwa na tatizo la Internet kuwa na Speed ndogo kwenye kompyuta zao, iwe una download Movie au unafungua tovuti kama Facebook lazima kompyuta yako inakuwa na speed ndogo ya Internet. Sasa kuliona […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Apps Muhimu kwaajili ya Mwezi wa Ramadhani (2024)
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/03/mwezi-wa-ramadhani/
Kila mwaka Waislamu wote duniani ujumuika pamoja na kufunga kila ifikapo mwezi mtukufu wa Ramadhani, mwezi huo waumini wote wa dini ya kiislamu hufanya Sala pamoja na mambo mengine mazuri ya kumpendeza Mungu ikiwa kama ni sehemu ya ibada ya mwezi huo. Kwa sasa tupo kwenye siku za mwanzo za kipindi hicho cha mwezi mtukufu […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Infinix Yatengeneza Chip Yake “Cheetah X1” Kutumika Simu za NOTE 40
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/03/infinix-yatengeneza-chip-yake-cheetah-x1/
Kampuni ya simu za Mkononi Infinix yathibitisha rasmi kuja na Chip yake mpya kwenye mfumo wa kuongeza nguvu ya ufanisi ambayo inafahamika kama Cheetah X1 hii imefuatia baada ya unboxing video ya Infinix NOTE 40 pro+ kuvuja mitandaoni ikionyesha feature ya All Round FastCharge 2.0. Infinix imevieleza vyombo ya habari kuwa wakati umefika katika Kuanzisha […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Kuna wakati unajikuta una hifadhi majina mara mbili kwenye phonebook ya simu yako, mara nyingi hii usababishwa na kuunganisha akaunti yako ya Google pamoja na Phonebook ya simu yako, pia vilevile wakati mwingine husababishwa na ku copy majina kutoka kwenye line yako kuja kwenye simu yako. Kujirudia kwa majina wakati mwingine ni usumbufu mkubwa na […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Kuzima Bluetooth Kwenye Android TV Yoyote
https://www.tanzaniatech.one/sw/2024/03/kuzima-bluetooth-kwenye-android-tv/
Kama wewe ni mmoja wa wamiliki wa TV za Android basi ni wazi kuwa umeshakutana na tatizo la bluetooth kuwa ON kila wakati na hii kufanya watu (majirani) kujaribu kuunganisha bluetooth kwenye TV yako kila mara bila ruhusa na kusumbua TV yako na jumbe za ku-pair bluetooth. Kama unavyojua TV nyingi za Android hazina sehemu […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Infinix NOTE 30 series yatazamiwa kuwa simu yenye viwango vya juu zaidi vya sauti na kumuondoa mtumiaji na kelele wakati wa kusiliza Music, kutazama video na kucheza game za simu. Ikiwa zimebaki siku chache Infinix kuzindua series ya Note 40 duniani kote, Chapa hii ya kisasa ya kiteknolojia inayolenga vijana kwa ushirikiano wake na chapa […]
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech