Tanzania Tech
2.07K subscribers
191 photos
2 videos
1 file
2.76K links
Tovuti ya Habari na Mafunzo Mbalimbali ya Teknolojia Tanzania.
Download Telegram
Telegram Yaja na Njia Mpya ya Kutengeneza Pesa Mtandaoni
https://www.tanzaniatech.one/sw/telegram-yaja-na-njia-mpya-ya-kutengeneza-pesa-mtandaoni/

Programu ya Telegram ni moja ya programu maarufu ya kuwasiliana, mbali na kuwasiliana programu hii ni maarufu hasa…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Google Launches August 2024 Core Update to Enhance Search Quality
https://www.tanzaniatech.one/google-launches-august-2024-core-update-to-enhance-search-quality/

Google has officially rolled out its August 2024 core update, marking another significant step in its ongoing effort…
Mambo ya Kujua Kabla ya Kununua Laptop ya MacBook
https://www.tanzaniatech.one/sw/mambo-ya-kujua-kabla-ya-kununua-laptop-ya-macbook/

Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii ni wazi utakuwa umeshakutana na matangazo mengi sana ya wauzaji…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Simu Gani Bora Upande wa Kamera.? Camon 30 vs Galaxy S24
https://www.tanzaniatech.one/sw/simu-gani-bora-upande-wa-kamera-camon-30-vs-galaxy-s24/

Katika mada mpya ya hivi karibuni kati ya kamera za simu, kuna mpambano mpya wa kamera ya simu…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Download Video Instagram, Twitter, TikTok, na Mitandao Mingine
https://www.tanzaniatech.one/sw/kudownload-video-mitandao/

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapendelea kuhifadhi baadhi ya video zako kwenye kifaa chako au sehemu…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
WhatsApp Yaja na Username Badala ya Namba ya Simu
https://www.tanzaniatech.one/sw/whatsapp-yaja-na-username-badala-ya-namba-ya-simu/

WABetaInfo, chapisho linalojulikana kutoa taarifa za WhatsApp, lime gundua kipengele kipya katika toleo la hivi karibuni la WhatsApp…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jinsi ya Kuchati Bure Hata Kama Huna Bando au Salio
https://www.tanzaniatech.one/sw/chat-bure-bila-bando/

Habari na karibu tena kwenye maujanja, siku ya leo ninaenda kukuonyesha njia fupi ambayo unaweza kutumia na ndugu…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Apps (5) za Muhimu Kuwa Nazo Kwenye Android TV (2024)
https://www.tanzaniatech.one/sw/apps-za-muhimu-kuwa-nazo-kwenye-android-tv/

Kama wewe ni mmoja wa watumiaji wa Android TV basi makala hii ni maalum kwa ajili yako, kupitia…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Jiandae na Teknolojia Mpya ya Ultra-thin PHANTOM ULTIMATE 2 Tri-Fold
https://www.tanzaniatech.one/sw/jiandae-na-teknolojia-mpya-ya-ultra-thin-phantom-ultimate-2-tri-fold/

Teknolojia inakua kwa kasi sana na TECNO haipo nyuma kwenye kufanya uvumbuzi. TECNO imeanzisha dhana ya kwanza duniani…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Convert Picha, Video na Mafile ya Aina Zote Kwa Haraka
https://www.tanzaniatech.one/sw/convert-mafaili-ya-aina-zote/

Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia kompyuta kwa muda mrefu basi ni wazi kuwa kuna wakati unahitaji…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Angalia Uzinduzi wa Simu Mpya za iPhone 16 Ndani ya DK 10
https://www.tanzaniatech.one/sw/angalia-uzinduzi-wa-simu-mpya-za-iphone-16-ndani-ya-dk-10/

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao jana walipitwa na uzinduzi wa bidhaa mpya za Apple ikiwa pamoja…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
TECNO Yazindua Jukwaa la TECNO Tanzania Campus Community (TTCC)
https://www.tanzaniatech.one/sw/tecno-yazindua-jukwaa-la-tecno-tanzania-campus-community-ttcc/

TECNO inazua gumzo kwa uzinduzi wa mtandao wake mpya wa wanafunzi wa vyuo vikuu, Tanzania TECNO Campus Community…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Shortcuts (14) za Windows Ambazo Ulikuwa Huzijui
https://www.tanzaniatech.one/sw/shortcuts-za-windows/

Pamoja na kuwa kwa sasa kila kitu kinaweza kufanyika kwenye simu lakini ni wazi kuwa bado kompyuta zinazo…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Tecno Yashinda Tuzo Mbili Za Dhahabu Kwa Ubunifu Wa AIoT 2024
https://www.tanzaniatech.one/sw/tecno-yashinda-tuzo-mbili-za-dhahabu-kwa-ubunifu-wa-aiot-2024/

TECNO imeshinda Tuzo mbili za Dhahabu kwa ubunifu wa AIoT katika Maonyesho ya IFA Berlin 2024, ikitambuliwa kwa…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Tovuti Itakayo Kulipa Pesa Kutoa Maoni Mtandaoni Kuanzia $5
https://www.tanzaniatech.one/sw/tengeneza-hadi-dollar-5-mtandaoni/

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao ungependa kutengeneza pesa mtandaoni kuanzia $5 na kuendelea basi pengine njia…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
Hizi Hapa Apps Nzuri Kwaajili ya Watafutaji wa Ajira Rasmi
https://www.tanzaniatech.one/sw/apps-nzuri-za-ajira-rasmi/

Najua kwa sasa ni kipindi cha mwaka wa ambapo wahitimu wanamaliza, hivyo watu wengi sana hasa walio maliza…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
TECNO Kushirikiana na Franchise ya TRANSFORMERS
https://www.tanzaniatech.one/sw/tecno-kushirikiana-na-franchise-ya-transformers/

TECNO inashirikiana na franchise ya TRANSFORMERS ya Hasbro kuanzisha toleo maalum la TRANSFORMERS la TECNO SPARK 30 Series,…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech
TECNO Watoa Ofa Babkubwa Kwa Wateja Wao Siku Ya Members Day
https://www.tanzaniatech.one/sw/tecno-watoa-ofa-babkubwa-kwa-wateja-wao-siku-ya-members-day/

TECNO imeanzisha promosheni ya kipekee ya MEMBER DAY ambayo imejaa ofa za babkubwa. Kama mteja, nunua matoleo yao…
Soma Zaidi Bofya Link Kwenye Bio #TanzaniaTech