AFRIKA KUSINI: Hai Shi akishinda Uchaguzi, atawakilisha wakazi wa Kata ya 103, Jimbo la Gauteng, katika Baraza la Jiji la Johannesburg.
Soma https://jamii.app/DiwaniHaiShi
#JamiiForums #Democracy #LGE2026 #SAElections #AfricanPolitics
Soma https://jamii.app/DiwaniHaiShi
#JamiiForums #Democracy #LGE2026 #SAElections #AfricanPolitics
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Wakati wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa, #Yanga wakifuzu Hatua ya Makundi kwa magoli 8-1 , wawakilishi wengine, Timu ya #Simba imeingia kwa kishindo kikubwa zaidi kwa kuifunga 15 de Agosto ya Equatorial Guinea magoli 3-0, hivyo kuitoa kwa jumla ya magoli 9-1 kutokana na kushinda 6-1 katika mchezo wa awali.
Mchezo huo wa pili umepigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Oktoba 25, 2026.
Mdau umeonaje kiwango cha Mnyama?
Zaidi https://jamii.app/MnyamaMakundi
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
Mchezo huo wa pili umepigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Oktoba 25, 2026.
Mdau umeonaje kiwango cha Mnyama?
Zaidi https://jamii.app/MnyamaMakundi
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ENGLAND: Manchester United sasa inaelekea kuwa kati ya timu zinazopigania kutoshuka Daraja kwa kuwa ina pointi 7 ambapo ni moja zaidi ya Nottingham Forest iliyopo kwenye Kundi la timu zinazopambana kutoshuka Daraja katika Premier League.
Hiyo imefikia baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 ikiwa Old Trafford kutoka kwa Bournemouth, leo Oktoba 25, 2026, matokeo yanayoonesha kuna uwezekano Kocha Michael Carrick safari yake imewadia.
Licha ya nahodha wa United, Bruno Fernandes kuanzia benchi bado hakukuwa na mabadiliko yoyote kwa timu hiyo ambayo imekuwa na matokeo mabaya katika mechi 8 mfululizo.
Zaidi https://jamii.app/UnitedHoiBinTaaban
#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026

“Kauli Mbiu yetu ni “Mapenzi si Vita Usiue”, mahusiano ni furaha, ukiona imefika mwisho muache aende, hakuna haja ya kutafuta migogoro. Wanawake na Wanaume tujirekebishe tunapozungumza, pia viongozi wa dini waifundishe Jamii kuwa upendo wa Kimungu tuuoneshe kwa juhudi, tukiendelea hivi Watu wataogopa kuingia katika mahusiano.”
Kauli hiyo imetolewa Oktoba 23, 2026 na Wakili Halima Sonda, Mkurugenzi wa Miradi na Undeshaji wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC).
Zaidi https://jamii.app/VifoMahusiano
#JamiiForums #HakiZaBinadamu #HumanRights

Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano CHADEMA, Brenda Rupia ameelezea kuhusu tukio linaloripotiwa kumhusu kutekwa kwa Mwanachama wao, Twaha Mwaipaya linalodaiwa kutokea leo, Oktoba 25, 2026.
Zaidi https://jamii.app/MwaipayaKutekwa
#JamiiForums #HakiZaBinadamu
Zaidi https://jamii.app/MwaipayaKutekwa
#JamiiForums #HakiZaBinadamu
❤2
❤2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (#UVCCM), Faris Buruhani, aliyasema hayo Oktoba 25, 2026, wakati akipokea malalamiko kuhusu madai ya vijana kukwazwa katika shughuli zao za kiuchumi.
Ikumbukwe kuwa Wadau mbalimbali ndani ya JamiiForums.com wamekuwa wakilalamikia madai ya maafisa wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuwakamata wanapopakia abiria vituoni, kufunga bajaji zao minyororo na kuwataka kulipa faini.
Soma https://jamii.app/FarasLATRA
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMatukio

DODOMA: Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema hayo Oktoba 26, 2026 katika taarifa yake kwa umma kuhusu hali ya usalama nchini.
Soma https://jamii.app/MisimeUhalifu
#JamiiForums #Utawala #JFMatukio
Soma https://jamii.app/MisimeUhalifu
#JamiiForums #Utawala #JFMatukio
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Aleksandar Vučić, Rais wa Serbia kuanzia 2017 hadi alipojiuzulu Septemba 2026, amekubali kushindwa katika uchaguzi baada ya chama chake cha Serbian Progressive Party (SNS) kupata 39.2% ya kura, huku upinzani ukipata 52.65%.
Vučić alijiuzulu na kuitisha uchaguzi wa dharura kufuatia maandamano ya wanafunzi yaliyoanza Novemba 2024 baada ya kuporomoka kwa paa la kituo cha treni Novi Sad na kusababisha vifo vya watu 16, tukio lililohusishwa na rushwa na ukosefu wa uwajibikaji serikalini.
Fuatilia Zaidi https://jamii.app/UshindiSerbia
#JamiiForums #Demokrasia #Uwajibikaji

SHINYANGA: Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa amesema hayo jana Oktoba 25, 2026, Wilayani Kahama alipokagua ujenzi wa Barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT–Kakola (Kilomita 73) unaotarajiwa kukamilika Desemba 2026.
Naye, Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Ntuli Mwaikokesya amesema mradi umefikia 90.17% na kwamba upo nyuma kwa 6.85%.
Ikumbukwe, mara kadhaa Wadau wa JamiiForums.com wameelezea kuwa miradi kadhaa imekwama au mwendowake kuwa mdogo sababu ya vifaa kupeleka sehemu nyingine kabla ya kukamililisha tenda’
Zaidi https://jamii.app/KadogosaWakandarasi
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026

NJOMBE: Mdau wa JamiiForums.com ametoa Wito kwa Mamlaka husika kuchukua hatua kwa Wapasuaji wa Miamba wanaotumia vilipuzi vyenye sauti kubwa Mtaa wa Wikichi Halmashauri ya Mji Njombe, ili kulinda Afya na Usalama wa Jamii.
Zaidi https://jamii.app/MaweVilipuziNjombe
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFAfya #PublicHealth
Zaidi https://jamii.app/MaweVilipuziNjombe
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFAfya #PublicHealth