ANGOLA: Mipango ya Timu ya #Simba kuingia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imezimwa rasmi baada ya kupata sare ya Goli 1-1 dhidi ya Petro de Luanda, hivyo kuendelea kushika mkia katika Kundi D ikiwa na alama 2 na kuwa timu pekee ambayo haijashinda kwenye Kundi hilo, ikiwa imeshuka uwanjani mara tano.
Simba sasa inasubiri kukamilisha ratiba kwa kucheza dhidi ya Stade Malien ya Mali kwenye Uwanja wa Mkapa, Februari 14, 2026. Mchezo mwingine wa Kundi D utapigwa Februari 8, 2026, ambapo Stade Malien itaivaa Espérance de Tunis.
Msimamo wa Kundi hilo unaonesha Stade Malien inaongoza ikiwa na pointi 8, Espérance de Tunis (6), Petro de Luanda (6) na Simba 2.
Zaidi tembelea https://jamii.app/SimbaAngola
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026

🤣4❤1
CAF: Timu ya #Simba imekamilisha safari ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kupata ushindi pekee katika Hatua ya Makundi kwa kuifunga Stade Malien Goli 1-0 kwenye Uwanja wa Mkapa, hivyo kufikisha alama 5 katika Kundi D.
Mchezo mwingine wa Kundi hilo, Experance imeifunga Petro Atletico Magoli 2-0. Msimamo unaonesha Stade Malien imeongoza ikiwa na alama 11, Esperance pointi 9 na zote zimesonga Hatua inayofuata, Petro alama 6 na Simba ni ya nne.
Zaidi https://jamii.app/SimbaOUTCAF
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
Mchezo mwingine wa Kundi hilo, Experance imeifunga Petro Atletico Magoli 2-0. Msimamo unaonesha Stade Malien imeongoza ikiwa na alama 11, Esperance pointi 9 na zote zimesonga Hatua inayofuata, Petro alama 6 na Simba ni ya nne.
Zaidi https://jamii.app/SimbaOUTCAF
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha na kukabidhi rasmi marekebisho ya Katiba ya Klabu ya #Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa Kisheria, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Paul Makonda alilolitoa Februari 16, 2026.
Akizungumza Februari 18, 2026, Msajili wa Vyama vya Michezo na Vilabu, Wakili Abel Ngilangwa amesema “Serikali imejiridhisha kuwa marekebisho hayo hayahatarishi usalama, hayavurugi amani miongoni mwa Wanachama wala kuathiri hali ya uwekezaji.”
Zaidi https://jamii.app/KatibaYaSimba
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFSports

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mshambuliaji wa #Yanga, #PrinceDube akimpatia Mwananchi fedha mara baada ya kuwasili Bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar ambapo timu yake ilicheza dhidi ya #Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliomalizika kwa sare ya 0-0.
Zaidi https://jamii.app/DubeAtoaPesa
#JamiiForums #JFSports
Zaidi https://jamii.app/DubeAtoaPesa
#JamiiForums #JFSports
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu imeeleza Mwamuzi Msaidizi namba 1, Kassim Mpanga aliyechezesha mchezo wa #Yanga dhidi ya Simba (Machi 1, 2026) amefungiwa miezi sita kwa kosa la kushindwa kutafsiri vema Sheria za Soka.
Bodi ya Ligi imesema hatua hiyo ni baada ya kukataa goli la #Simba katika dakika ya 70 ya mchezo huo kwa maelezo kuwa mchezaji aliotea lakini taarifa ya Wataalam wa kutafsiri Sheria za Soka baada ya kufanyia tathmini video ya tukio hilo, wamebaini hakukuwa na kosa lolote kabla ya kufungwa kwa bao hilo.
Aidha, Mwamuzi Msaidizi Namba 2 wa mchezo huo, Hamdan Said amefungiwa miezi mitatu kwa kushindwa kutafsiri vema Sheria za Soka kwa kuonesha Price Dube wa Yanga alikuotea katika dakika ya 61 lakini Wataalam wamebaini hakuwa katika eneo la kuotea wakati mpira huo unapigwa kuelekea kwake.
Zaidi https://jamii.app/WaamuziKufungiwa
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026

❤3
Timu ya #Simba imeichapa #TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na hivyo kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kukimbizana na #Yanga (inaongoza ligi, pointi 38 michezo 16) katika kuwania ubingwa.
Matokeo hayo yanaifanya Simba ambayo imefikisha michezo 14 kushika nafasi ya pili kwa kuwa na alama 31 wakati TRA United ambayo inamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebaki nafasi ya 10 kati ya timu 16 ikiwa na pointi 20 katika mechi 16.
Zaidi https://jamii.app/SimbaTRA
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
Matokeo hayo yanaifanya Simba ambayo imefikisha michezo 14 kushika nafasi ya pili kwa kuwa na alama 31 wakati TRA United ambayo inamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebaki nafasi ya 10 kati ya timu 16 ikiwa na pointi 20 katika mechi 16.
Zaidi https://jamii.app/SimbaTRA
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
ARUSHA: Magoli yaliyofungwa na Clatous Chama, Libasse Gueye na moja la kujifunga la Shaban Pandu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid yameipa #Simba ushindi wa 3-0 dhidi ya #FountainGate, hivyo kufikisha alama 39 ikiwa nafasi ya pili nyuma ya #Yanga yenye pointi 44 katika Ligi Kuu Bara.
Fountain Gate inayopambana kutoshuka Daraja imebaki nafasi ya 14 kati ya timu 16 ikiwa na alama 16, ambapo timu zote hizo za juu zimecheza michezo 18.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/FountainGateSimba
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
Fountain Gate inayopambana kutoshuka Daraja imebaki nafasi ya 14 kati ya timu 16 ikiwa na alama 16, ambapo timu zote hizo za juu zimecheza michezo 18.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/FountainGateSimba
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Bodi ya Ligi Kuu kupitia kwa Afisa Habari wake, Karim Boimanda imesema kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya #Simba dhidi ya #Yanga utakaopigwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, leo Mei 3, 2026 kuanzia Saa 12:00 Jioni, Watu ambao hawana tiketi hawatakiwi kusogea kwenye eneo hilo.
Zaidi https://jamii.app/KukataTiketi
#JamiiForums #JFSports, #JFLigiKuu2026
Zaidi https://jamii.app/KukataTiketi
#JamiiForums #JFSports, #JFLigiKuu2026
TANGA: Mechi imepigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, imeipa Simba SC ushindi wa magoli 2-1 ikitoka nyuma baada ya kutanguliwa na wenyeji wao Coastal Union.
Ushindi huu unaifanya #Simba kuwa juu ya Msimamo katika Ligi Kuu Bara ikifikisha pointi 55 katika mechi 24, ikiishusha #Yanga ambayo ina pointi 54 katika mechi 23.
Shiriki mjadala https://jamii.app/SimbaYaifungaCoastal
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
Ushindi huu unaifanya #Simba kuwa juu ya Msimamo katika Ligi Kuu Bara ikifikisha pointi 55 katika mechi 24, ikiishusha #Yanga ambayo ina pointi 54 katika mechi 23.
Shiriki mjadala https://jamii.app/SimbaYaifungaCoastal
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
❤1
MWANZA: Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2026 inatarajiwa kuzikutanisha #Simba dhidi ya Azam FC, hiyo ni baada ya #AzamFC kuichapa #Yanga Magoli 3-2 katika Nusu Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.
Katika mchezo huo ambao umechezwa kwa dakika 120, baada ya matokeo ya 2-2 katika dakika 90, muda mwingi Azam FC ilicheza pungufu kutokana na mchezaji wao mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu.
Mdau, unadhani kombe litaelekea Msimbazi au Chamazi?
Zaidi https://jamii.app/YangaAzamCRDB

👎1😁1
Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zinaendelea, #Yanga inaongoza ikiwa na alama 69 baada ya kuifunga #AzamFC magoli 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan, #Simba ipo nafasi ya pili kwa kuwa na alama 67 baada ya kuifunga #MtibwaSugar magoli 3-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Michezo imepigwa leo Juni 24, 2026, kila timu imesaliwa na michezo miwili, Simba itaivaa Singida Black Stars na KMC wakati Yanga itacheza dhidi ya TRA United na JKT Tanzania.
MATOKEO YOTE YA MECHI ZOTE
Yanga 3-0 Azam FC
Mtibwa 0-3 Simba
Singida BS 3-1 TZ Prisons
TRA United 1-1 Coastal Union
Dodoma Jiji 0-0 JKT Tanzania
Pamba Jiji 0-2 Mbeya City
Fountain Gate 0-1 Mashujaa
KMC 2-3 Namungo
Zaidi tembelea https://jamii.app/YangaMbioUbingwa

Bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara anatarajiwa kujulikana katika mchezo wa mwisho wa ligi hiyo, baada ya #Simba na #Yanga kuendelea kushinda na kukabana katika kuwania ubingwa huo licha ya kuwa Yanga ndiyo yenye nafasi kubwa ya kutetea taji.
Leo Juni 27, 2026, Yanga imeifunga TRA United magoli 3-0 kwenye Uwanja wa KMC Complex na kufikisha alama 72 katika michezo 29, Simba imeifunga Singida Black Stars kwenye Uwanja wa Meja Jenrali Isamuhyo magoli 2-0 na kufikisha alama 70.
Simba itamaliza msimu kwa kukipiga dhidi ya KMC wakati Yanga yenyewe ikacheza dhidi ya JKT Tanzania.
Shiriki mjadala https://jamii.app/MbioUbingwa2026
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu

❤1👎1
LIGI KUU BARA: Baada ya tambo za msimu mzima, hatimaye umemalizika kwa #Yanga kutwaa ubingwa Msimu wa 2025/26 kwa kufikisha pointi 75 kwa kuifunga JKT Tanzania magoli 3-0, #Simba imeifunga KMC goli 1-0 na kufikisha alama 73, ikiishia nafasi ya pili.
Wakati huohuo, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacôme Zouzoua hakumaliza mchezo huo baada ya kuchezewa faulo na mchezaji wa JKT Tanzania, Wahabi Hassan ambaye alipewa kadi nyekundu katika dakika ya 45 ya mchezo huo.
MATOKEO YA MECHI ZOTE KUKAMILISHA MSIMU:
JKT Tanzania 0-3 Yanga SC
Simba SC 1-0 KMC FC
Azam FC 2-0 Dodoma Jiji
Mashujaa FC 0-1 TZ Prisons
Mbeya City 0-0 TRA United
Coastal Union 2-1 Pamba Jiji
Fountain Gate 4-3 Singida BS
Namungo FC 2-1 Mtibwa Sugar
Fuatilia zaidi https://jamii.app/YangaBingwa2026

PEMBA: Simba imekamilisha msimu wa 2025/26 kwa kubeba kombe la pili msimu huu ambalo ni CRDB Bank Federation Cup (Kombe la Shirikisho la CRDB) kwa kuichapa #AzamFC goli 1-0 katika Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Gombani, Julai 4, 2026.
Kombe lingine lililotua Msimbazi Aprili 2026 ni lile la Muungano ambapo Simba iliichakaza #Yanga goli 1-0 Kisiwani Zanzibar, Aprili 2026, hivyo inamaliza ikiwa imelikosa taji la Ligi Kuu Bara kwa hapa nchini ambalo limetua kwa Yanga.
Baada ya ushindi huo, kupitia ukurasa wao wa Instagram, #Simba imeandika “Tumewapasua AzaUTO”, pia Meneja Uhusiano wa Simba, Ahmed Ally amesema “Kikosi kinarejea Dar, Julai 5, 2026 na moja ya njia ambayo tutapita tukitokea Uwanja wa Ndege ni Mtaa wa Jangwani wakati tukielekea Msimbazi.”
Zaidi https://jamii.app/SimbaCRDB26

ZANZIBAR: Timu ya #Simba imeendeleza uteja kwa kufungwa na #Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii goli 1-0 kwenye Uwanja wa Amaan, ikiwa ni mwendelezo wa Yanga kutamba dhidi ya wapinzani wao wa jadi, goli pekee limewekwa wavuni na Albert Kangwanda.
Matokeo hayo yamekuja siku chache baada ya Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ kunukuliwa akisema bado timu hiyo inaweza kufanya usajili kwa kuwa “Fedha zipo Benki”
MICHEZO YA NGAO YA JAMII ILIYOPITA:
Mwaka 2025:
Yanga 1-0 Simba
Mwaka 2024:
Yanga 1-0 Simba
Mwaka 2023:
Yanga 0-1 Simba
Mjadala unaendelea https://jamii.app/SimbaYangaNgao26
#JamiiForums #JFSports #KariakooDerby

Mdau, gari la Simba limewaka au tusikilizie kidogo?
SINGIDA: Timu ya #Simba imeendeleza moto katika Ligi Kuu Bara 2026/27 baada ya kushinda mechi ya tatu mfululizo kwa kuifunga Singida Black Stars magoli 2-1 kwenye Uwanja wa Airtel.
Licha ya ushindi huo, Simba pia imeendeleza kuwa na rekodi mbaya upande wa kadi baada ya Anthony Mligo kupewa kadi nyekundu, hivyo inakuwa ya tatu mfulizo kwa timu hiyo tangu msimu uanze.
Zaidi https://jamii.app/SingidaBSSimba26

❤2
DAR: Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unasomeka hivi, #Yanga inaongoza ikiwa na pointi 18 sawa na #Simba inayoshika nafasi ya pili, timu hizo zimecheza michezo 6 kila upande, ikimaanisha zina wastani wa kushinda kwa 100% msimu huu wa 2026/27.
Msimamo huo ni baada ya matokeo ya Septemba 16, 2026, ambapo Simba imeifunga #AzamFC magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, matokeo yanayoifanya Azam ibaki nafasi ya tatu kwa kuwa na alama 14 katika michezo 7.
Zaidi https://jamii.app/AzamYapigwa
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
Msimamo huo ni baada ya matokeo ya Septemba 16, 2026, ambapo Simba imeifunga #AzamFC magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, matokeo yanayoifanya Azam ibaki nafasi ya tatu kwa kuwa na alama 14 katika michezo 7.
Zaidi https://jamii.app/AzamYapigwa
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
❤1
LIGI KUU BARA: Simba imemaliza ubishi wa nani ni mbabe katika timu za Kariakoo, hiyo ni baada ya kuitandika #Yanga magoli 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Oktoba 10, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Timu ya #Simba ambayo ilitawala mchezo huo muda mwingi imefikisha pointi 21 na kuongoza msimamo wa Ligi, Yanga ambayo imefungwa kwa mara ya kwanza katika Ligi msimu huu, imebaki nafasi ya pili ukiwa na alama 18.
Mdau umeonaje mchezo?
Zaidi https://jamii.app/SimbaVsYanga26
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026 #KariakooDerby

DAR ES SALAAM: Timu ya #Simba ni kama imechungulia Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2026/27 kwa kushinda magoli 6-1 dhidi ya de Agosto ya Equatorial Guinea, mchezo wa marudio ukitarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru.
Staa wa mchezo huo ni Ibrahim Doumbia wa Simba ambaye amefunga magoli mawili, ikiwa ni mara yake ya kwanza kuifungia timu yake katika mchezo wa ushindani baada ya "ukame" wa muda mrefu tangu asalijiwe mwanzoni mwa msimu huu.
Zaidi https://jamii.app/De-AgostoSimba
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
Staa wa mchezo huo ni Ibrahim Doumbia wa Simba ambaye amefunga magoli mawili, ikiwa ni mara yake ya kwanza kuifungia timu yake katika mchezo wa ushindani baada ya "ukame" wa muda mrefu tangu asalijiwe mwanzoni mwa msimu huu.
Zaidi https://jamii.app/De-AgostoSimba
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Wakati wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa, #Yanga wakifuzu Hatua ya Makundi kwa magoli 8-1 , wawakilishi wengine, Timu ya #Simba imeingia kwa kishindo kikubwa zaidi kwa kuifunga 15 de Agosto ya Equatorial Guinea magoli 3-0, hivyo kuitoa kwa jumla ya magoli 9-1 kutokana na kushinda 6-1 katika mchezo wa awali.
Mchezo huo wa pili umepigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Oktoba 25, 2026.
Mdau umeonaje kiwango cha Mnyama?
Zaidi https://jamii.app/MnyamaMakundi