#MICHEZO: Msimu wa 2023/24 ni mchungu kwa Wanasimba, hiyo ni baada ya #Simba kufungwa magoli 2-1 dhidi ya Yanga, ikimaanisha imefungwa mechi zote mbili dhidi ya Wapinzani wao wa Jadi katika Ligi Kuu Msimu huu
Magoli ya Stephane Aziz Ki (20) kwa penati 20 na Joseph Guede (38) yameifanya Simba ambayo imepata goli lake kupitia kwa Freddy Kouablan (73) kujiweka mbali katika mbio za ubingwa
-
#Yanga ina pointi 58 katika mechi 22 na inaongoza msimamo wa Ligi Kuu, #AzamFC nafasi ya pili kwa pointi 51 mechi 23, Simba ni ya tatu ikiwa na pointi 46 katika michezo 21
Soma https://jamii.app/YangaSimbaApr
#JFSports #JamiiForums

π14π₯°1π1
DAR: Mchezo wa #LigiKuuBara kati ya Timu ya #JKTTanzania dhidi ya #YangaSC umemalizika kwa matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo, leo Aprili 24, 2024
Baada ya matokeo hayo Yanga imeendelea kuongoza Msimamo kwa kufikisha pointi 59 ikiwa na michezo 23, ikifuatiwa na #AzamFC yenye pointi 54 michezo 24 kisha Simba alama 46 kwenye michezo 21, huku JKT ambayo ipo nafasi ya 14 kati ya timu 16 ikifikisha alama 23 katika michezo 23
Soma https://jamii.app/JKTTZYanga
#JFSports #JamiiiForums

π8β€1
MNYAMA SIMBA AMTAFUNA AZAM FC, ATWAA KOMBE LA MUUNGANO 2024
Goli pekee lililofungwa na Babacar Sarr dakika ya 77 limeiwezesha #SimbaSC kutwaa Kombe la Muungano 2024 dhidi ya #AzamFC katika Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, #Zanzibar
Simba ambayo imekuwa na msimu wa kusuasua katika Ligi Kuu Bara 2023/24 na Ligi ya Mabingwa Afrika 2023/24, kabla ya mchezo huo iliitoa KVZ kwa magoli 2-0 wakati Azam FC iliifunga KMKM magoli 5-2
Baada ya mchezo huo, Kiungo wa Simba, Saidi Ntibazonkiza 'Saido' aliyeibuka mchezaji Bora wa Fainali, amesema mashabiki wao hawatakiwi kukata tamaa hata kama timu hiyo inapata matokeo mabaya kwa kuwa ni sehemu ya mchezo
Soma https://jamii.app/Muungano24
#JFSports #JamiiForums #MuunganoCup #MuunganoCup2024

π7
Goli pekee lililofungwa na Kiungo Mshambuliaji, Mudathir Yahya dakika ya 83 limeiwezesha #Yanga kushinda 1-0 dhidi ya #KageraSugar na hivyo kufikisha pointi 68 katika #LigiKuuBara ikiwa na maana imesaliwa na pointi takribani 4 ili iweze kutangazwa Bingwa wa Ligi hiyo
#AzamFC na #Simba ambazo zinashika nafasi ya Pili na Tatu kwenye msimamo zina uwezo wa kufikisha pointi 72 na 71 katika michezo yao iliyosalia, inamaanisha idadi ya pointi kwa Yanga kuwa Bingwa zinaweza kupungua kutoka 4 kutokana na matokeo ya mchezo wa Simba dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kucheza Mei 9, 2024
Michezo iliyosaliwa kwa Timu 3 za juu kwenye msimamo, Yanga (4), Azam FC (5) na Simba (6)
Soma https://jamii.app/YangaLigiKuu

π6β€2
ARUSHA: Goli pekee lililowekwa wavuni na Stephane Aziz Ki limeiwezesha #Yanga kuingia Fainali ya Michuano ya CRDB Bank Federation Cup, maarufu kwa jina la FA Cup kwenye Uwanja wa Sheikh Kaluta Amri Abeid
Kwa ushindi huo, Yanga itavaana na #AzamFC katika mchezo wa Fainali
Soma https://jamii.app/YangaNusuFainali
#JFSports #JamiiForums
Kwa ushindi huo, Yanga itavaana na #AzamFC katika mchezo wa Fainali
Soma https://jamii.app/YangaNusuFainali
#JFSports #JamiiForums
π7
Yanga imebeba Kombe la FA "CRDB Bank Federation Cup" kwa kuifunga #AzamFC kwa njia ya penati 6-5 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar baada ya matokeo ya 0-0 katika dakika 120, hivyo kubeba kombe hilo kwa mara ya tatu mfululizo
Wapigaji wa penati za #Yanga ni; Stephane Aziz Ki (kosa), Joseph Guede (kosa), Pacome Zouzoua (pata), Yao Kwasi (pata), Bakari Mwamnyeto (pata), Khalid Aucho (pata), Kennedy Musonda (pata), Ibrahim Hamad (kosa) na Jonas Mkude (pata)
Upande wa Azam FC ni; Adolf Bitegeko (pata), Cheikh Sidibe (pata), Yeison Fuentes (kosa), Gibril Sillah (kosa), Kipre Jr (pata), Edward Manyama (pata), Fei Toto (pata), Lusajo Mwaikenda (kosa), Iddy Nado (kosa)
MABINGWA WA FA, Michuano hiyo iliyoanza Mwaka 1967 kisha kufanyika kwa kuruka baadhi ya miaka, ilisimamishwa kuanzia Mwaka 2003 hadi 2015, iliporejea timu zilizotwaa ubingwa ni: 2016 (Yanga), 2017 (Simba), 2018 (Mtibwa Sugar), 2019 (Azam FC), 2020 (Simba), 2021 (Simba), 2022 (Yanga), 2023 na 2024 (Yanga)
Soma https://jamii.app/FainaliFA

π10β€2
#MICHEZO: Taarifa Ya #AzamFC imesema imeridhia maombi ya aliyekuwa Mshambuliaji #PrinceDube ya kuvunja mkataba aliyoyatoa Machi 2024
Hatua hiyo ni baada ya Dube kutimiza matakwa ya Kimkataba kama ilivyoainishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba
Aidha, kumekuwa na tetesi zinazomhusisha Dube kujiunga na Mabingwa wa Ligi Kuu ya TanzaniaBara, #YangaSC, hivyo hiyo inaweza kuwa nafasi nzuri kwa mchezaji huyo kuvaa Uzi wa Jangwani msimu ujao
Soma https://jamii.app/PrinceDube
#JamiiForums #Sports

π1
ZANZIBAR: Timu ya #AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 5-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa Amaan
-
Kutokana na ushindi huo, Azam FC itacheza fainali ya Ngao ya Jamii kwa kukipiga na timu itakayoshinda katika mchezo wa #Yanga dhidi ya #Simba unaotarajiwa kuchezwa baadaye leo Agosti 8, 2024
-
Soma https://jamii.app/NgaoCoastalAzam
#JFSports #NgaoYaJamii24 #JamiiForums

DAR ES SALAAM: Timu ya #Yanga imeendeleza ubabe dhidi ya Wapinzani wao wa Jadi, #Simba baada ya kushinda goli 1-0 na kufanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii 2024, ambapo kwa ushindi huo, Yanga itaivaa #AzamFC mnamo Agosti 11, 2024
Goli lililowekwa wavuni na Max Nzengeli dakika ya 44 limefanya Yanga iendelee kuwa Mfalme kwa kuwa msimu uliopita ilishinda mechi zote mbili dhidi ya watani hao na kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24
Soma https://jamii.app/YangaSimbaNgao
#JFSports #KariakooDerby #YangaSimba #JamiiForums

π6πΎ3β€1π1π©1
DAR ES SALAAM: Bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Timu ya Yanga imebeba Ngao ya Jamii 2024 kwa ushindi mnono wa magoli 4-1 dhidi ya #AzamFC kwenye Uwanja wa Mkapa katika Fainali ya Michuano hiyo, leo Agosti 11, 2024
Feisal Salum β#FeiTotoβ ndiye aliyeanza kufunga upande wa Azam FC lakini #Yanga ikasawazisha kupitia kwa Prince Dube na kuendelea kuongeza magoli mengine kupitia kwa Yoro Diaby (amejifunga), Stephane Aziz Ki na Clement Mzize
Yanga iliingia Fainali hiyo kwa kuifunga #Simba goli 1-0 wakati Azam FC iliifunga #CoastalUnion magoli 5-2
Soma https://jamii.app/FainaliNgao2024
#JFSports #JamiiForums #NgaoYaJamii2024

π10
MICHEZO: Timu ya #Yanga imefuzu kucheza Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuifunga VitalβO ya Burundi kwa magoli 6-0 katika mchezo wa pili wa Hatua ya Kwanza
-
Mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam unaifanya Yanga kufuzu kwa jumla ya magoli 10-0 kwa kuwa mchezo wa kwanza ilishinda magoli 4-0
-
Hatua ijayo Yanga itakipiga dhidi ya CBE ya Ethiopia, mchezo wa kwanza Bijana wa Jangwani wakianzia ugenini
-
Wakati huo huo, #AzamFC ikicheza ugenini kwenye Uwanja wa Amahoro Jijini Kigali, Rwanda imeondolewa katika Michuano hiyo kwa kufungwa magoli 2-0 dhidi ya APR ambayo imesonga mbele kwa jumla ya magoli 2-1
-
Soma https://jamii.app/CAFAgosti24
#JFSports #CAFChampionsLeague #JamiiForums

β€2π1
KIGOMA: Timu ya #Yanga imeendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kutetea taji la Ligi Kuu Bara, baada ya kuichapa Mashuja FC Magoli 5-0 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, hivyo kufikisha alama 55, ikibaki kileleni katika msimamo kwa kucheza Michezo 21
Wafungaji wa Magoli ni Duke Abuya (31), Prince Dube (47), Khalid Aucho (54) na Clatous Chama (73, 83), upande wa Mashujaa FC ambayo ilikuwa nyumbani imesaliwa na pointi 23 katika Michezo 21
Timu inayoshika nafasi ya pili ni #Simba yenye alama 50 katika Michezo 19, ikifuatiwa na #AzamFC yenye pointi 43 katika Michezo 20
Soma https://jamii.app/MashujaaYanga
#JFSports #JamiiForums #LigiKuu25

β€1
DAR: Azam FC imemtangaza rasmi kocha wa zamani wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo kuelekea Msimu wa 2025/2026, akichukua nafasi ya Rachid Taoussi ambaye aliondoka mwishoni mwa msimu uliopita.
Taarifa hiyo inakuja wakati #AzamFC ikijiandaa kuiwakilisha #Tanzania kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) msimu ujao
Soma Zaidi https://jamii.app/IbengeKochaAzam
#JamiiForums #JFSports #JamiiAfrica

DAR: Azam FC imefanikiwa kumsajili kipa #AishiManula kutoka Simba SC kwa mkataba wa Miaka mitatu, akiondoka Msimbazi baada ya nafasi yake ya kucheza kuwa finyu kutokana kuandamwa na majeraha pamoja uwepo wa Mousa Pinpin Camara.
Manula alijiunga na #SimbaSC Mwaka 2017 akitokea Azam FC, alionesha uwezo mkubwa ngazi ya klabu ya na Timu ya Taifa ya Tanzania βTaifa Starsβ kiasi cha kupewa jina la Tanzania One
Je, usajili wa Manula unaweza kuisaidia #AzamFC kutwaa mataji msimu ujao?
Soma Zaidi https://jamii.app/ManulaAzam

DAR ES SALAAM: Mchezo wa #AzamFC dhidi ya #Yanga umemalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu ya 0-0 kwenye Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, timu zote zikishambuliana kwa zamu.
Baada ya matokeo hayo, Yanga imeendelea kubaki nafasi ya kwanza ikiwa na alama 36 katika michezo 14, Azam ipo nafasi ya pili ikiwa na alama 28 katika michezo 14.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/Azam0Yanga0
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026

ARUSHA: Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa Timu ya Simba katika mbio za kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Bara, hiyo ni baada ya kulazimishwa matokeo ya 0-0 dhidi ya TRA United kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Mchezo mwingine wa Ligi, Mbeya City na #AzamFC zimepata matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara.
Matokeo hayo yanaifanya Simba kubaki nafasi ya pili ikiwa na pointi 36 katika michezo 17, ipo mbele ya Azam FC yenye alama 34 kwenye michezo 18, huku #Yanga ikiongoza kwa kuwa na alama 44 katika michezo 18. Upande wa TRA ipo nafasi ya 7 kwa alama 25 michezo 18.
Soma https://jamii.app/TRASimbaAprili

MWANZA: Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2026 inatarajiwa kuzikutanisha #Simba dhidi ya Azam FC, hiyo ni baada ya #AzamFC kuichapa #Yanga Magoli 3-2 katika Nusu Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.
Katika mchezo huo ambao umechezwa kwa dakika 120, baada ya matokeo ya 2-2 katika dakika 90, muda mwingi Azam FC ilicheza pungufu kutokana na mchezaji wao mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu.
Mdau, unadhani kombe litaelekea Msimbazi au Chamazi?
Zaidi https://jamii.app/YangaAzamCRDB
#JamiiForums #JFSports

π1π1
Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara zinaendelea, #Yanga inaongoza ikiwa na alama 69 baada ya kuifunga #AzamFC magoli 3-0 kwenye Uwanja wa Amaan, #Simba ipo nafasi ya pili kwa kuwa na alama 67 baada ya kuifunga #MtibwaSugar magoli 3-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Michezo imepigwa leo Juni 24, 2026, kila timu imesaliwa na michezo miwili, Simba itaivaa Singida Black Stars na KMC wakati Yanga itacheza dhidi ya TRA United na JKT Tanzania.
MATOKEO YOTE YA MECHI ZOTE
Yanga 3-0 Azam FC
Mtibwa 0-3 Simba
Singida BS 3-1 TZ Prisons
TRA United 1-1 Coastal Union
Dodoma Jiji 0-0 JKT Tanzania
Pamba Jiji 0-2 Mbeya City
Fountain Gate 0-1 Mashujaa
KMC 2-3 Namungo
Zaidi tembelea https://jamii.app/YangaMbioUbingwa

PEMBA: Simba imekamilisha msimu wa 2025/26 kwa kubeba kombe la pili msimu huu ambalo ni CRDB Bank Federation Cup (Kombe la Shirikisho la CRDB) kwa kuichapa #AzamFC goli 1-0 katika Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Gombani, Julai 4, 2026.
Kombe lingine lililotua Msimbazi Aprili 2026 ni lile la Muungano ambapo Simba iliichakaza #Yanga goli 1-0 Kisiwani Zanzibar, Aprili 2026, hivyo inamaliza ikiwa imelikosa taji la Ligi Kuu Bara kwa hapa nchini ambalo limetua kwa Yanga.
Baada ya ushindi huo, kupitia ukurasa wao wa Instagram, #Simba imeandika βTumewapasua AzaUTOβ, pia Meneja Uhusiano wa Simba, Ahmed Ally amesema βKikosi kinarejea Dar, Julai 5, 2026 na moja ya njia ambayo tutapita tukitokea Uwanja wa Ndege ni Mtaa wa Jangwani wakati tukielekea Msimbazi.β
Zaidi https://jamii.app/SimbaCRDB26

DAR: Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unasomeka hivi, #Yanga inaongoza ikiwa na pointi 18 sawa na #Simba inayoshika nafasi ya pili, timu hizo zimecheza michezo 6 kila upande, ikimaanisha zina wastani wa kushinda kwa 100% msimu huu wa 2026/27.
Msimamo huo ni baada ya matokeo ya Septemba 16, 2026, ambapo Simba imeifunga #AzamFC magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, matokeo yanayoifanya Azam ibaki nafasi ya tatu kwa kuwa na alama 14 katika michezo 7.
Zaidi https://jamii.app/AzamYapigwa