JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.6K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Oktoba 31, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu

Zaidi https://jamii.app/MgogoroTunduru

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mbunge wa Jimbo la Katavi Thomas Kampala aliyasema hayo Oktoba 30, 2026 katika Bunge la 13 mkutano wa 5, Kikao cha 4 jijini Dodoma.

Mdau nini maoni yako?

Zaidi https://jamii.app/VijanaKampala

#JamiiForums #Utawala #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Sheikh Mwaipopo katika nyakati tofauti, Novemba 4, 2025 na Oktoba 30, 2026.

Zaidi https://jamii.app/SheikhMwaipopo

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFKumbukizi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ENGLAND: Timu ya Manchester United bado inaendelea kuwa katika hali tete baada ya kupoteza mchezo wa Premier League dhidi ya Chelsea kwa magoli 2-0.

Hali ilizidi kuwa ngumu kwa United baada ya mchezaji wao, Lisandro Martínez, kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 63.

Baada ya matokeo hayo, Manchester United inabaki na pointi 7 katika kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England ikiwa imeshinda mechi moja tu.

https://jamii.app/ManchesterUnitedVsChelsea

#JamiiForums #JFSports
Mdau, ni jambo gani limekuwa sehemu ya maisha yako tangu uanze kuishi mwenyewe?

Shiriki mjadala https://jamii.app/KuishiKibachela

#JamiiForums #Maisha
❤2
Kaka wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, Wakili Alute Lissu Mughwai amefariki usiku wa kuamkia Novemba 1, 2026.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa ambapo hajaweka wazi chanzo cha kifo chake.

Aidha, Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, Brenda Rupia amesema "Ni taarifa ya kweli, msiba umetokea na sasa viongozi wetu wanaelekea gerezani kuonana na Mwenyekiti baada ya hapo tutatoa taarifa rasmi na kamili"

Zaidi https://jamii.app/KakaLissuAfariki

#JamiiForums
Mdau, ni kitu gani ulinunua kwa mkumbo na sasa hivi hukitumii tena?

Zaidi https://jamii.app/KununuaKitu

#JamiiForums #Maisha
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ARUSHA: Akizungumza na Waandishi wa Habari, Novemba 1, 2026, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema ameeleza namna alivyompendekeza John Heche, kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho katika Uchaguzi wa ndani Mwaka 2025.

Zaidi https://jamii.app/LemaHeche

#JamiiForums #Siasa