JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.6K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MISRI: Baada ya droo ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 2026/27, unaona timu ipi itavuka hatua hii?

Zaidi https://jamii.app/DrooMakundiAfrika
 
#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
MISRI: Je, Simba SC italipa kisasi kwa RS Berkane na Orlando Pirates, na je, Yanga SC itawakandamiza wakongwe kwenye kundi lake wakiwemo Zamalek SC?

Shiriki  https://jamii.app/DrooMakundiAfrika

#JamiiForums #JFSports #JFCAF2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mdau wa JamiiForums.com ameandika, "Wanafunzi wanaenda vyuoni kutafuta elimu na kujenga maisha yao ya baadaye, mazingira wanayoishi yanapaswa kuwasaidia kufikia malengo hayo."

Ameongeza, “Kuwepo kwa jengo la hosteli pekee hakumaanishi mahitaji ya msingi ya Wanafunzi yametimizwa, inapaswa kuwa sehemu salama, safi, yenye mazingira yanayofaa kuishi na kujiandaa kwa masomo.”

Fuatilia zaidi https://jamii.app/HostelDIT

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFElimu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MWANZA: Maagizo hayo yametolewa na Mwenyekiti wa Mfuko wa Jimbo la Buchosa ambaye ni Mbunge wa jimbo hilo, Eric Shigongo, Oktoba 27, 2026.

Zaidi https://jamii.app/ShigongoVsMtendaji

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Je, Mdau unafahamu namna ya kuripoti unapokutana na udhalilishaji Mtandaoni?

Kushiriki mjadala Bofya https://jamii.app/GharamaUdhalilishaji

#JamiiForums #EndGBV #KataaUkatili #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
Mdau, una ushauri gani kwa familia hii?

Shiriki mjadala https://jamii.app/MtotoAnatakaMtoto

#JamiiForums #Maisha #JFLifestyle
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Salamu za faraja kwa wote mliopoteza wapendwa wenu. Nguvu, Upendo na Matumaini viwe nanyi.

Zaidi https://jamii.app/RmbrncOctDths

#JamiiForums
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Salamu za faraja kwa wote mliopoteza wapendwa wenu, Nguvu, Upendo na Matumaini viwe nanyi.

Zaidi https://jamii.app/RmbrncOctDths

#JamiiForums
❤2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Akizungumza katika kipindi cha Kivulini Talk Mwaka Mmoja tangu Oktoba 29, Mkuu wa Programu wa JamiiAfrica, Ziada Seukindo, amesema kama Taifa bado kuna deni la ukweli na uwajibikaji.

Zaidi https://jamii.app/ZiadaOktobaDeni

#JamiiForums #Uwajibikaji #UtawalaBora
❤1👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mkurugenzi mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (#LHRC), Dkt. Helen Kijo-Bisimba, amesema hayo Oktoba 29, 2026, kwenye mazungumzo na The Chanzo kwenye Kumbukumbu ya Mwaka Mmoja tangu matukio ya Oktoba 29, 2025.

Soma https://jamii.app/HelenAmriYaKuua

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMatukio
KENYA: Mahakama Kuu ya Milimani, Nairobi, imewaamuru Maafisa wa usalama, akiwemo Inspekta Jenerali wa Polisi (DCI), kumfikisha Mahakamani Mwanaharakati wa Tanzania, Twaha Mwaipaya, Novemba 2, 2026, akiwa hai amefariki, pamoja na hati ya kukamatwa na kuwekwa kizuizini.

Amri hiyo imetolewa Oktoba 30, 2026, na Jaji Alexander Muteti, kufuatia maombi yaliyowasilishwa na Shirika la Vocal Africa kwa niaba ya Twaha Mwaipaya dhidi ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Inspekta Jenerali wa Polisi na wengine 13.

Ikumbukwe, Mwaipaya aliripotiwa kutekwa Oktoba 25, na watu wenye silaha akiwa ndani ya teksi eneo la Kamulu, kaunti ya Machakos Nairobi.

Zaidi https://jamii.app/MahakamaKenyaTwaha

#JamiiForums #Uwajibikaji #HumanRights
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Profesa Anna Tibaijuka aliyasema hayo Oktoba 29, 2026, katika Mahojiano na Ayo TV.

Zaidi https://jamii.app/TibaijukaWatuKupotea

#JamiiForums #Uwajibikaji