Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
GENEVA: Hayo ameyasema Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega wakati akizungumza katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa juu ya Tathmini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kikao cha 53 cha Mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Mataifa Yote (UPR), Leo Novemba 5, 2026.
Zaidi https://jamii.app/UlegaUtawaSheria
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia #Utawala
Zaidi https://jamii.app/UlegaUtawaSheria
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia #Utawala
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Hatma ya Mwenyekiti wa CHADEMA, #TunduLissu, inatarajiwa kujulikana leo Novemba 6, 2026 wakati Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, itakapotoa hukumu katika shauri la kesi ya uhaini chini ya Jaji Dunstan Ndunguru (Kiongozi wa Jopo), Jaji James Karayemaha na Jaji Ferdinand Kiwonde.
Ikumbukwe, Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025, akafunguliwa mashtaka rasmi Mahakamani siku iliyofuata katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Miezi kadhaa baadaye kesi ilihamishiwa Mahakama Kuu kwa ajili ya hatua za usikilizwaji kamili mpaka kufikia hatua ya sasa ya hukumu kutolewa.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/HkmKesiLissu6Nv
#JamiiForums #JFMatukio

❤3
Katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Mahakama haijamkuta na hatia ya kosa la uhaini.
Hata hivyo, Mahakama imemtia hatiani Lissu kwa kosa dogo la uchochezi ndani ya shtaka hilo.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/HkmLissuUchochezi
#JamiiForums #JFMatukio
Hata hivyo, Mahakama imemtia hatiani Lissu kwa kosa dogo la uchochezi ndani ya shtaka hilo.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/HkmLissuUchochezi
#JamiiForums #JFMatukio
❤1
Mahakama imemhukumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kifungo cha miaka minne gerezani kwa kosa la uchochezi kwa kuvuruga uchaguzi, kitendo ambacho Jaji Ndunguru amekitafsiri kuwa ukiukwaji wa Katiba. Akitoa uamuzi huo kwa kutumia Kifungu cha 35 kutokana na Kifungu cha 390 cha Kanuni ya Adhabu kutobainisha kiwango cha adhabu, Jaji amesisitiza katika kudai haki, mtu hapaswi kuingilia haki za wengine.
Pamoja na mahakama kuzingatia hoja za afya na ugonjwa wa mshtakiwa, imeelekeza kuwa maombi yoyote ya dhamana yatafanyika tu baada ya yeye kuanza kutumikia adhabu hiyo gerezani, huku akiwa na haki ya kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo. Awali Lissu alikabiliwa na shtaka la uhaini lakini Mahakama ilimuachia huru kwa shtaka hilo baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha nia ya kutenda kosa hilo.
Zaidi https://jamii.app/Lissu4YrsJela

Nawe unaweza kuwasilisha Kero yako kupitia FichuaUovu inayopatikana katika mtandao wa JamiiForums.com📌
Fuatilia zaidi https://jamii.app/KukataTiketiMoro
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Fuatilia zaidi https://jamii.app/KukataTiketiMoro
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Taarifa ya Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inakuja siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa mita 8 za maji zimeibiwa Kimara Stop Over, Oktoba 31, 2026, na kusababisha kusimama kwa huduma ya maji.
DAWASA imeongeza kuwa inaendelea kushughulikia changamoto kwa Wananchi wasio waaminifu wanaoiba mita za Maji kwa matumizi ambayo bado hayajafahamika.
Zaidi https://jamii.app/DawasaMita
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
DAWASA imeongeza kuwa inaendelea kushughulikia changamoto kwa Wananchi wasio waaminifu wanaoiba mita za Maji kwa matumizi ambayo bado hayajafahamika.
Zaidi https://jamii.app/DawasaMita
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Shirika la Posta Tanzania limeeleza "Kwa sasa tunapatikana kwa Namba 0738 070 702 na 0718 900 700 au Barua Pepe: customer.care@posta.co.tz wakati wakati jitihada za kushughulikia changamoto zikiendelea.”
Fuatilia zaidi https://jamii.app/PostaMfumoNamba
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Fuatilia zaidi https://jamii.app/PostaMfumoNamba
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau na wewe unaweza kuwasilisha hoja yako kupitia JamiiForums.com, unachotakiwa kufanya ni kujisajili kisha unaweza kuwasilisha andiko lako katika majukwaa tofauti mbalimbali ikiwemo Fichua Uovu.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/HojaMikopoNzega
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Fuatilia zaidi https://jamii.app/HojaMikopoNzega
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, alipokuwa akitoa ufafanuzi wa hoja zilizoibuliwa na wabunge juu ya sakata la kuongezeka kwa gharama za ujenzi wa uwanja wa michezo Arusha, Novemba 4, 2026.
Zaidi https://jamii.app/MakondaUwanjaArusha
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Zaidi https://jamii.app/MakondaUwanjaArusha
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Maoni ya Mbunge wa Jimbo la Mtama (#CCM), Nape Nnauye, aliyoyatoa Novemba 7, 2026, wakati akifanya mahojiano kupitia Clouds TV.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/NapeSiasaTanzania
#JamiiForums #Siasa
Fuatilia zaidi https://jamii.app/NapeSiasaTanzania
#JamiiForums #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi DAWASA, Mhandisi Romanus Mwang’ingo amesema matengenezo hayo yamefanyika kwa lengo la kuchukua tahadhari ya kulinda miundombinu dhidi ya athari za mvua ya El nino.
Mdau, hali ya upatikanaji huduma ya maji ipoje? Maji yameshafika katika eneo lako?
Zaidi https://jamii.app/DAWASAMajiMpiji
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Mdau, hali ya upatikanaji huduma ya maji ipoje? Maji yameshafika katika eneo lako?
Zaidi https://jamii.app/DAWASAMajiMpiji
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Piga Namba 0901760321 kuwasiliana na AVA kwenye simu ya aina yoyote ile uweze kupata taarifa mbalimbali.
Zaidi https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Zaidi https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA