Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Jimbo la Makete (#CCM), Festo Sanga, akichangia Bungeni, Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka ya Fedha 2026/27 hadi 2028/29, Februari 3, 2026 amesema utekelezaji wa miradi ya maendeleo haiwezi kwenda kwa wakati endapo rushwa itaendelea kushamiri nchini.
Zaidi https://jamii.app/RushwaMikataba
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #Governance
Zaidi https://jamii.app/RushwaMikataba
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #Governance
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
TANGA: Mwenyekiti wa Kitongoji wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Erasto amemweleza Waziri Mwigulu Nchemba kuwa maisha yake yako hatarini na anahofia kutekwa au kuuawa baada ya kuzuia ukataji wa miti kinyemela katika eneo la Machemba, Muheza. Amesema hayo Februari 16, 2026.
Akijibu hoja, Mwigulu ameelekeza usalama wa Erasto ulindwe na kuelekeza mtu anayetoa maoni kwenye mikutano ya kijiji au ya maeneo yao awe salama.
Zaidi tembelea https://jamii.app/KutekwaMuheza
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
RUVUMA: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho, Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt. Lazaro Kiliani Komba wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa Jimbo la Peramiho kwa kupata Kura 69,002 sawa na Asilimia 87 ya kura halali zote zilizopigwa.
Uchaguzi huo mdogo umefanyika baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Jenista Mhagama kufariki Dunia Desemba 11, 2025.
Soma https://jamii.app/UbungePeramiho
#JamiiForums #Democracy #JFSiasa
Uchaguzi huo mdogo umefanyika baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Jenista Mhagama kufariki Dunia Desemba 11, 2025.
Soma https://jamii.app/UbungePeramiho
#JamiiForums #Democracy #JFSiasa
🤬1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KUMBUKIZI: Mfanyabiashara Mohammed Dewji (Mo Dewji) ambaye ni Mbunge wa zamani wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM) Mwaka 2005 hadi 2015, alizungumza hayo Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi.
Zaidi bofya https://jamii.app/MoUrasimu
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFKumbukizi
Zaidi bofya https://jamii.app/MoUrasimu
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFKumbukizi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
SIMIYU: Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Kenani Kihongosi, ameyasema hayo Machi 7, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Wilayani Maswa.
Shiriki https://jamii.app/KihongosiWanagombana
#JamiiForums #Siasa
Shiriki https://jamii.app/KihongosiWanagombana
#JamiiForums #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
KAGERA: Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Kenani Kihongosi, ameyasema hayo Machi 27, 2026 katika mkutano wa hadhara Wilaya ya Bukoba Mjini.
Soma https://jamii.app/KenaniAmani
#JamiiForums #Governance
Soma https://jamii.app/KenaniAmani
#JamiiForums #Governance
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MARA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira ameyasema hayo Machi 27, 2026 alipokuwa akiweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa Jengo la Ofisi za CCM, Wilaya ya Bunda ambazo zilichomwa moto katika vurugu za Oktoba 29, 2025.
Zaidi https://jamii.app/WasiraUchaguzi2030
#JamiiForums #Demokrasia
Zaidi https://jamii.app/WasiraUchaguzi2030
#JamiiForums #Demokrasia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (#CCM), Kenani Kihongosi, leo Aprili 7, 2026 akizungumza na Waandishi wa Habari, amewajibu wanaoshinikiza kufutwa kwa ushuru na tozo kwenye mafuta, akisema hatua hiyo ni "udanganyifu wa Kisiasa" na jambo ambalo haliwezekani katika uendeshaji wa nchi yoyote Duniani.
Fuatilia mjadala https://jamii.app/KihongosiKodiMafuta
#JamiiForums #Uwajibikaji #UtawalaBora #JFUchumi
Fuatilia mjadala https://jamii.app/KihongosiKodiMafuta
#JamiiForums #Uwajibikaji #UtawalaBora #JFUchumi
❤1
IRINGA: Chama Cha Mapinduzi (#CCM) Wilaya ya Iringa Vijijini kimetangaza rasmi kuanza kwa zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Ismani. Hatua hiyo inakuja baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, William Vangimembe Lukuvi aliyefariki Machi 25, 2026 akiwa ametumikia jimbo hilo kwa Miaka 31.
Kwa taarifa zaidi https://jamii.app/MrithiWaLukuvi
#JamiiForums #Siasa #UchaguziIsmani #JFSiasa
Kwa taarifa zaidi https://jamii.app/MrithiWaLukuvi
#JamiiForums #Siasa #UchaguziIsmani #JFSiasa
👍1🤬1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Viti Maalum (#CCM) Mkoa wa Morogoro, Lucy Kombani, ametoa hoja hiyo Aprili 17, 2026 Bungeni wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Hoja hiyo inakuja wakati waajiriwa wapya, kupitia jukwaa la JamiiForums.com, wamekuwa wakilalamikia kucheleweshewa posho na fedha za kujikimu baada ya kuripoti katika vituo vyao vya kazi.
Zaidi bofya https://jamii.app/LucyWatumishiWapya
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability
Hoja hiyo inakuja wakati waajiriwa wapya, kupitia jukwaa la JamiiForums.com, wamekuwa wakilalamikia kucheleweshewa posho na fedha za kujikimu baada ya kuripoti katika vituo vyao vya kazi.
Zaidi bofya https://jamii.app/LucyWatumishiWapya
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameyasema hayo Bungeni Aprili 20, 2026 wakati akijibu swali Bungeni.
Ikumbukwe, Wadau mbalimbali wa JamiiForums.com wamekuwa wakishauri viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (#CCM) viwe chini ya umiliki wa Serikali ili viweze kuboreshwa na kutoa huduma yenye tija.
Una maoni gani Mdau wa Soka?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/UkarabatiViwanjaCCM
#JamiiForums #JFMichezo #Uwajibikaji
Ikumbukwe, Wadau mbalimbali wa JamiiForums.com wamekuwa wakishauri viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (#CCM) viwe chini ya umiliki wa Serikali ili viweze kuboreshwa na kutoa huduma yenye tija.
Una maoni gani Mdau wa Soka?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/UkarabatiViwanjaCCM
#JamiiForums #JFMichezo #Uwajibikaji
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) Taifa, Kenani Kihongosi ameyasema hayo Mei 4, 2026 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari - Makao Makuu ya chama.
Shiriki mjadala https://jamii.app/KenaniMtajiKisiasa
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #Siasa
Shiriki mjadala https://jamii.app/KenaniMtajiKisiasa
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
JFKUMBUKIZI: Aliyekuwa Mwanachama wa #CCM, ambaye Jana, Mei 23, 2026 ametangaza kurudi #CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, aliyasema hayo Septemba 7, 2024, alipokuwa akifanya mahojiano na Mtangazaji wa Kipindi cha Medani za Siasa cha Star TV, Edwin Odemba.
Zaidi tembelea https://jamii.app/MsigwaVsCDM
#JamiiForums #JFDemokrasia #Siasa #JFKumbukizi
Zaidi tembelea https://jamii.app/MsigwaVsCDM
#JamiiForums #JFDemokrasia #Siasa #JFKumbukizi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma na Mwanachama wa #CCM ametoa ushauri huo alipokuwa kwenye mahojiano na M&S Podcast, kipindi hicho kilichapishwa Julai 1, 2026.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/UshauriWaMusukuma
#JamiiForums #Siasa #UtawalaBora #JFSiasa
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/UshauriWaMusukuma
#JamiiForums #Siasa #UtawalaBora #JFSiasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ZANZIBAR: Rais Samia Suluhu amesema hayo Julai 9, 2026 kuhusu maridhiano wakati akishuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa baina ya Chama cha Mapinduzi (#CCM) na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar.
Soma https://jamii.app/MaridhianoZanzibar
#JamiiForums #Siasa #UtawalaBora
Soma https://jamii.app/MaridhianoZanzibar
#JamiiForums #Siasa #UtawalaBora
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Alichozungumza Mwenyekiti wa #CCM Mkoa wa Simiyu, Shamsa Mohammed wakati alipokuwa katika shughuli ya Kijamii, Julai 11, 2026.
Mdau, una maoni gani?
Zaidi https://jamii.app/SiasaSimiyu
#JamiiForums #JFSiasa #Siasa
Mdau, una maoni gani?
Zaidi https://jamii.app/SiasaSimiyu
#JamiiForums #JFSiasa #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) Bara, Stephen Wasira alisema hayo Julai 20, 2026 wakati wa mahojiano na kituo cha TV cha ITV.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/WasiraKesiYaLissu
#JamiiForums #JFSheria
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/WasiraKesiYaLissu
#JamiiForums #JFSheria
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
IRINGA: Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (#NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha aliyasema hayo alipokuwa akizungumza kwenye mkutano maalum wa chama hicho Septemba 26, 2026.
Soma https://jamii.app/ChachaNchimbiYukoWapi
#JamiiForums #Siasa
Soma https://jamii.app/ChachaNchimbiYukoWapi
#JamiiForums #Siasa
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
SHINYANGA: Mbunge wa Jimbo la Ushetu (#CCM), Emmanuel Cherehani, alitoa kauli hiyo Oktoba 7, 2026 katika ziara yake Kata ya Chambo ya kuzindua na kukagua miradi mbalimbali.
Nini maoni yako Mdau?
Mjadala unaendelea https://jamii.app/KatibaNiKaratasi
#JamiiForums #Siasa
Nini maoni yako Mdau?
Mjadala unaendelea https://jamii.app/KatibaNiKaratasi
#JamiiForums #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Maoni ya Mbunge wa Jimbo la Mtama (#CCM), Nape Nnauye, aliyoyatoa Novemba 7, 2026, wakati akifanya mahojiano kupitia Clouds TV.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/NapeSiasaTanzania
#JamiiForums #Siasa
Fuatilia zaidi https://jamii.app/NapeSiasaTanzania
#JamiiForums #Siasa