JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.6K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Akisoma Bajeti Kuu ya 2026/27 Bungeni, Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Omar amesema pamoja na mafanikio hayo bado kuna kazi kubwa ya kuendelea na mapambano dhidi ya adui Umasikini.

Nini maoni yako Mdau?

Zaidi tembelea https://jamii.app/KupambanaNaUmasikini

#JamiiForums #Accountability #BajetiKuu2026 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
❤2
DODOMA: Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Omar amesema katika Bajeti ya 2026/27, Serikali imefanya matumizi mahsusi kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali ikiwemo ujenzi wa miundombinu na viwanja vya michezo na ushiriki kwa ajili ya Michuano ya Kombe la Afrika (#AFCON2027) ambapo #Tanzania itakuwa ni moja ya Nchi mwenyeji.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/UjenziViwanjaAfcon

#JamiiForums #Accountability #BajetiKuu2026 #AFCON2026 #JFSports #Transparency
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Taska Mbogo ametoa hoja hiyo Juni 22, 2026 alipokuwa akichangia hoja Bungeni jijini Dodoma.

Soma https://jamii.app/BodaBodaWasiongezeweKodi

#JamiiForums #Accountability
Adhabu hii ni mwendelezo wa Utaratibu wa Rais Xi Jinping kutokomeza ufisadi. Viongozi wengine walionyongwa miaka ya karibuni ni Lai Xiaomin (2021) kwa kupokea hongo ya Yuan Bilioni 1.8 ( Tsh. Bilioni 695) na Li Jianping Mwaka 2024 kwa ubadhirifu wa zaidi ya Yuan Bilioni 3 (Tsh. Trilioni 1.1).

Zaidi https://jamii.app/China

#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MWANZA: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo amesema hayo Julai 6, 2026 wilayani Misungwi wakati wa hafla ya kukabidhi hati 668 za hakimiliki za kimila kwa Wananchi wa Vijiji vya Ndinga na Lubuga.

Taarifa hii imechapishwa katika ukurasa wa Wizara ya Ardhi ndani ya Jukwaa la JamiiForums.com, unaweza kutembelea akaunti yao kupata taarifa zaidi na kutoa hoja yako ambayo itajibiwa na Mamlaka hiyo.

Zaidi https://jamii.app/ArdhiMisungwi

#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability
KOREA KUSINI: Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Seol, kwa sasa Rais huyo wa zamani yuko mahabusu akitumikia kifungo cha maisha baada ya kuondolewa madarakani Mwaka 2025 kwa kutangaza Sheria ya Kijeshi.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/RaisYoonKudanganya

#JamiiForums #Accountability #Governance
⚡1
Mahakama iliambiwa kuwa Aprili 4, 2019, Shirika la Ujasusi la India lilionya Sri Lanka kuhusu uwezekano wa shambulio la kujitoa mhanga, lakini mamlaka hazikuchukua hatua.

Aprili 21, 2019, mashambulizi ya mabomu ya Pasaka yaliyolenga makanisa na hoteli yaliua Watu 279 na kujeruhi wengine zaidi ya 500.

Zaidi https://jamii.app/HukumuSriLanka

#JamiiForums #Governance #Accountability
Kando na Tanzania, nchi nyingine zilizotajwa kwenye ripoti hiyo ni Guinea-Bissau iliyoshika nafasi ya kwanza Duniani pamoja na El Salvador, Madagascar na Burkina Faso, ambazo kila moja ilipoteza alama 5.

Fuatilia Zaidi https://jamii.app/TanzaniaKushuka

#JamiiForums #Accountability #Governance
August 13, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu📌

Nini maoni yako?

Fuatilia zaidi, shiriki mjadala https://jamii.app/MarufukuPombeRwanda

#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #JFMdau2026
❤1
Agosti 19, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya mtandao wa JamiiForums.com wakati huu📌

Fuatilia zaidi https://jamii.app/StdntsBngeMchng

#JamiiForums #Accountability #JFHuduma
Septemba 3, 2026: Moja ya mjadala unaoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu😔

Fuatilia zaidi https://jamii.app/BodaAmlwtMtt

#JamiiForums #ChildRights #Accountability
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
BOTSWANA: Akihojiwa na eNCA’s CheckPoint Podcast, Rais wa Botswana, Duma Biko amesema uongozi unapaswa kuchukuliwa kama kazi ya muda, si utambulisho wa kudumu wa Mtu, unahitaji nidhamu na unyenyekevu.

Aidha, amegusia changamoto ambazo Serikali mpya hukutana nazo inapokabidhiwa mamlaka kutoka kwa utawala uliokaa muda mrefu, ikiwemo kurithi mfumo wa utumishi wa umma uliokuwepo. Amesisitiza marekebisho yanapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, usawa na Utawala wa haki.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/DumaMadaraka

#JamiiForums #Governance #AfricanPolitics #Accountability
NIGERIA: Kesi hiyo imeibua maswali kuhusu udhaifu katika mifumo ya ukaguzi na uthibitishaji wa Taasisi za Umma nchini humo. Hata hivyo, Adeyemi amekanusha mashtaka yote na kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa tena Oktoba 12, 2026.

Zaidi https://jamii.app/AdeyemiNigeria

#JamiiForums #Governance #Accountability
GHANA: Katiba ya Ghana inahakikishia wananchi Uhuru wa Kuabudu, ingawa Haki hiyo inazingatia pia masuala mengine, ikiwemo Usalama wa Umma.

Zaidi https://jamii.app/GhanaKuhubiri

#JamiiForums #Accountability #Governance
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi aliyasema hayo Oktoba 7, 2026 katika Uzinduzi wa Uongozi Mpya na Nembo ya Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika katika Hoteli ya Hyatt-Regency jijini Dar es Salaam.

Zaidi https://jamii.app/RaisSamiaVyama

#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Siasa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Sehemu ya Hotuba ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere ya Machi 14, 1995 ambapo alisisitiza umuhimu viongozi kusimamia na kutetea Katiba ya nchi.

Ikumbukwe leo Oktoba 14, Tanzania inaadhimisha miaka 27 tangu kifo cha Baba wa Taifa, aliyefariki mwaka 1999.

Zaidi https://jamii.app/NyerereDay2026

#JamiiForums #Governance #Accountability #NyerereDay2026
TUNISIA: Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanasema Rais Kais Saied ameongeza ukandamizaji dhidi ya Asasi za Kiraia, Waandishi wa Habari na Viongozi wa Upinzani. Hata hivyo kiongozi huyo amekuwa akikanusha madai hayo.

Zaidi https://jamii.app/TunisiaMaandamano

#JamiiForums #Democracy #AfricanPolitics #Accountability
Polisi wamesema hadi sasa Watu 167 wamekamatwa huku Askari 132 wakijeruhiwa katika maandamano hayo. Waziri Mkuu Edi Rama aliyekuwa madarakani tangu Mwaka 2013 amesisitiza kuwa hatajiuzulu.

Shiriki Mjadala https://jamii.app/AlbaniaMaandamano

#JamiiForums #Accountability #Governance
UFARANSA: Rais wa Bunge la Ulaya, Roberta Metsola amesema tuzo hiyo inatambua mchango wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (#ICC) katika kusimamia Haki za Kimataifa. Tuzo ya Sakharov ilianzishwa Mwaka 1988, huku hafla ya mwaka huu ikipangwa kufanyika Desemba 16, 2026, mjini Strasbourg.

Zaidi tembelea https://jamii.app/IccYatwaaSakharov

#JamiiForums #Diplomasia #TuzoYaSakharov2026 #Governance #Accountability