Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema "Kipindi cha Serikali ya Awamu ya 4 ulitokea uhalifu wenye sura ya Ugaidi uliohusisha urushwaji wa Mabomu kwenye Nyumba za Ibada, Mikusanyiko ya Watu na Mashambulizi ya Mtu mmoja mmoja wakiwemo Watu wenye Ulemavu wa Ngozi. Tumesahau hili? Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vilisimama imara na kukomesha Uhalifu huo”
Ameongeza "Kipindi cha Serikali ya Awamu ya 5, ulitokea uhalifu wa Watoto kutekwa na kuuwawa, Mtu mmoja mmoja kupigwa risasi kwenye makazi yake au katika Utekelezaji wa majukumu yake. Waliuawa Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na Mitaa wanaotokana na CCM na tulishuhudia pia miili iliyokuwa kwenye Magunia na Mifuko ikiwa imetupwa Baharini. Na haya tumesahau? Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vilisimama imara na kukomesha Uhalifu huo.”
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency

❤1
Serikali imesema Mafanikio makubwa yamepatikana ikiwemo kupandisha Vyeo Watumishi wa Umma 476,470 ambapo Jumla ya Tsh. Bilioni 689.9 zimetumika
Pia, kipindi cha kuanzia Mwaka 2021/22 hadi Mei 2025, Serikali imelipa madai ya malimbikizo ya Mishahara jumla ya Tsh. Bilioni 318.37 kwa Watumishi na Wastaafu 187,152.
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
Pia, kipindi cha kuanzia Mwaka 2021/22 hadi Mei 2025, Serikali imelipa madai ya malimbikizo ya Mishahara jumla ya Tsh. Bilioni 318.37 kwa Watumishi na Wastaafu 187,152.
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
Serikali imependekeza kutoza Ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha Tsh. 50 kwa kilo ya 'crisps' zinazozalishwa Nchini, na Tsh. 100 kwa kilo ya 'crisps' zinazoingizwa kutoka nje ya Nchi
Akisoma Bajeti Kuu, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema Lengo la hatua hii ni kupunguza athari za Kiafya ikiwemo ongezeko la uzito (Obesity) zinazotokana na matumizi ya bidhaa hizo na kuongeza Mapato ya Serikali. Hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 6,475;
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
Akisoma Bajeti Kuu, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema Lengo la hatua hii ni kupunguza athari za Kiafya ikiwemo ongezeko la uzito (Obesity) zinazotokana na matumizi ya bidhaa hizo na kuongeza Mapato ya Serikali. Hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 6,475;
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
Serikali imependekeza kupunguza kiwango cha Ushuru wa Bidhaa kwenye Vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya Nchi kutoka Tsh. 561 kwa kila Lita hadi Tsh. 134.2 kwa kila lita
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema Lengo la hatua hii ni kuweka unafuu kwa Wazalishaji wa ndani, kuongeza Ushindani na kuchochea Uwekezaji Nchini. Hatua hii inatarajia kupunguza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 170.2
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema Lengo la hatua hii ni kuweka unafuu kwa Wazalishaji wa ndani, kuongeza Ushindani na kuchochea Uwekezaji Nchini. Hatua hii inatarajia kupunguza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 170.2
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
❤1
Serikali imependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango 5% kwa Soseji na bidhaa zingine zinazofanana na hizo zinazozalishwa Nchini, na 10% kwa zile zinazoingizwa kutoka nje ya Nchi
Waziri Mwigulu Nchemba, amesema lengo ni kuongeza mapato ya Serikali, kuvutia Uwekezaji Nchini na kulinda Wazalishaji wa ndani. Hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 2,413.9
Pia imependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 10% kwenye sabuni zinazoingizwa kutoka nje ya Nchi, Lengo likiwa kulinda Wazalishaji wa ndani na kuongeza Ajira, hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa Tsh. Milioni 143,395.8
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
Waziri Mwigulu Nchemba, amesema lengo ni kuongeza mapato ya Serikali, kuvutia Uwekezaji Nchini na kulinda Wazalishaji wa ndani. Hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 2,413.9
Pia imependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 10% kwenye sabuni zinazoingizwa kutoka nje ya Nchi, Lengo likiwa kulinda Wazalishaji wa ndani na kuongeza Ajira, hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa Tsh. Milioni 143,395.8
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Kodi ya Mapato, Kutoza kodi ya zuio kwa kiwango cha 10% kwenye malipo ya Kamisheni inayotokana na matangazo ya Michezo ya kubahatisha
Amesema Kodi hii itakuwa ni kodi ya mwisho (final), lengo la hatua hii ni kuendana na Kanuni za usawa za utozaji kodi na kupanua wigo wa kodi, na hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 6,787.2
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
Amesema Kodi hii itakuwa ni kodi ya mwisho (final), lengo la hatua hii ni kuendana na Kanuni za usawa za utozaji kodi na kupanua wigo wa kodi, na hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 6,787.2
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
❤1
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amependekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 30% kwenye vifaa vya Sigara za Kielektroniki na vimiminika vya Sigara za Kielektroniki, ili kupunguza athari zinazotokana na matumizi ya bidhaa hizo na kuongeza wigo wa Kodi
Amesema hatua hiyo inatarajia kuongeza Mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 3,322.2
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
Amesema hatua hiyo inatarajia kuongeza Mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 3,322.2
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
❤1
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amependekeza kupunguza ada ya usajili wa pikipiki za biashara kutoka Tsh. 340,000 hadi Tsh. 170,000 kwa miaka mitatu, huku akisema ada hiyo husika italipwa wakati wa usajili wa awali pekee
Vile vile amependekeza kupunguza ada ya leseni ya uendeshaji wa pikipiki, bajaji na guta kutoka Tsh. 70,000 hadi Tsh. 30,000
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
Vile vile amependekeza kupunguza ada ya leseni ya uendeshaji wa pikipiki, bajaji na guta kutoka Tsh. 70,000 hadi Tsh. 30,000
Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji #Transparency
❤3
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema “Ni kweli Kituo cha Kupoza Umeme cha llamilo (Simiyu) kimechelewa Utekelezaji wake kutokana na sababu za Kiutendaji na kwamba Mkandarasi wa Ujenzi ameshapatikana, na Utekelezaji utaendelea ili kuimarisha hali ya upatikanaji wa Umeme.”
Ufafanuzi huo umetolewa baada ya Mdau kueleza licha ya Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, kuweka jiwe la msingi la Mradi Machi 2021 na kuahidi Unenzi kukamilika baada ya Mwaka mmoja lakini sasa inaelekea Miaka mitano hakuna kilichofanyika, changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara ipo vilevile, akahoji, kama Wananchi walidanganywa?
Taarifa ya #TANESCO imeongeza kuwa “Serikali kupitia Wizara ya Nishati na TANESCO tutahakikisha tunakamilisha kwa awamu ujenzi wa Miradi yote ya Gridi Imara iliyopangwa kama ilivyokusudiwa katika maeneo yote nchini.”
Soma https://jamii.app/UmemeSimiyuMradi
#Governance #Accountability #Transparency #JamiiAfrica #Uwajibikaji #ServiceDelivery #JamiiForums #JFMdau2025

❤2
KENYA: Inaelezwa Askari James Mukhwana ambaye kwa sasa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Mwanaharakati Albert Ojwang’, amesema (OCS), Samson Talaam alitoa amri ya “kumuadhibu” Ojwang, amri ambayo Mukhwana anadai ilitoka kwa Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Eliud Lagat
Maelezo hayo, ambayo Citizen TV imeyapata yanadai Mukhwana amesimulia jinsi alivyoitwa Ofisini kwa OCS usiku huo akiwa kazini, na kuelezwa “Kuna agizo kutoka kwa DIG Lagat. Unamfahamu? Kuna Maafisa kutoka Makao Makuu ya DCI wanamleta mtuhumiwa hapa saa mbili Usiku. Waambie wale wafungwa wamuonyeshe adabu kidogo.”
Ojwang alifungiwa ndani Saa tatu na dakika 20 Usiku, muda mfupi baada ya hapo mateso yakaanza kwenye selo ya mwisho karibu na Vyoo. Mukhwana anasema wafungwa wanne, Collins Ireri, Gil Ammiton, Brian Mwaniki na Erick Ndambuki waliagizwa kumshambulia.
Soma zaidi Ushahidi huu https://jamii.app/KonsteboMukhwanaTalks
#JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #Uwajibikaji #HumanRights #HakiZaBinadamu #Transparency

❤2🤔1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
SIMIYU: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ametoa onyo kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina pamoja na Wanasiasa wengine wa Mkoa wa Simiyu, kuacha kutumia zao la Pamba kama mtaji wa Kisiasa
Bashe amesema Mpina aliwahi kumdanganya Hayati Rais Magufuli kuhusu Bei ya Zao la Pamba Duniani na kusababisha Wakulima kupata hasara, kwa kuuza Pamba kwa Tsh. 500
Soma https://jamii.app/BasheMpinaKuuaKitalu
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #JamiiAfrica #Siasa #Transparency
Bashe amesema Mpina aliwahi kumdanganya Hayati Rais Magufuli kuhusu Bei ya Zao la Pamba Duniani na kusababisha Wakulima kupata hasara, kwa kuuza Pamba kwa Tsh. 500
Soma https://jamii.app/BasheMpinaKuuaKitalu
#JamiiForums #Accountability #Uwajibikaji #JamiiAfrica #Siasa #Transparency
❤2
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
JFKUMBUKIZI: Machi 04, 2019 Hayati John Pombe Magufuli alizungumzia matukio ya Utekaji Nchini na kusema "Watanzania wanajua kuchambua mambo, na lilipotokea tukio la kutekwa kwa Mo Dewji zilikuja habari nyingi kwamba waliohusika na Utekaji ni Wazungu wa aina fulani lakini suala hilo lilipomalizika, liliacha maswali mengi zaidi."
Aliongeza kwa kusema wahusika walijaribu kulichoma Moto Gari lakini baadae aliyetekwa akaonekana anakunywa Chai na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (wakati huo), Lazaro Mambosasa.
Soma https://jamii.app/MagufuliMatukioUtekaji
#JamiiForums #JFKumbukizi #JamiiAfrica #HumanRights #Transparency #Siasa

Ujumbe huu uliandikwa na Isaac Asimov, ambaye alikuwa raia wa Marekani, Mwandishi na Profesa aliyefundisha katika Chuo Kikuu cha Boston
Alizaliwa Mwaka 1920 na kufariki Mwaka 1992 akiwa na umri wa Miaka 72
#Governance #JamiiForums #Accountability #Transparency #JFNukuu #JFQuote #Quotes #JamiiAfrica

❤3🔥2👍1
Luhaga Joelson Mpina alianza safari yake ya #Siasa Mwaka 2003 akiwa Kamanda wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi kushika nafasi mbalimbali katika chama hicho na sasa amechaguliwa kugombea nafasi ya Urais kupitia chama cha #ACTWazalendo.
Uamuzi wa kuhamia ACT Wazalendo unakuja mwezi huu Agosti 2025 baada ya jina lake kuondolewa kwenye orodha ya Wagombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika mchakato wa ndani ya chama uliofanyika Julai 2025.
Kufahamu zaidi bofya https://jamii.app/LuhagaMpinaWasifu
#JamiiAfrica #JamiiForums #Transparency #UchaguziMkuu2025 #PresidentialCandidates

Salum Mwalimu alianza safari yake ya #Siasa kikamilifu Mwaka 2014 ambapo aliteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa #CHADEMA upande wa Zanzibar, alishika nafasi mbalimbali katika chama hicho na sasa amechaguliwa kugombea nafasi ya Urais kupitia Chama cha #CHAUMMA.
Uamuzi wa kuhamia CHAUMMA alitangaza rasmi Mei 19, 2025 baada ya maamuzi ya Salum na Wanachama wengine wa CHADEMA kujitoa katika chama hicho kutokana na kutoridhishwa na maamuzi ya Uongozi mpya ikiwemo kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 pamoja na madai ya chama kupoteza dira.
Zaidi https://jamii.app/SalumMwalimuWasifu
#JamiiAfrica #JamiiForums #Transparency #UchaguziMkuu2025 #PresidentialCandidates #Siasa

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
KATAVI: Baada ya baadhi ya Wanawake Wajasiriamali Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kudai hawapati Mikopo ya Halmashauri hali inayowarudisha nyuma kimaendeleo, Uongozi wa Wilaya umefafanua.
Mkuu wa Wilaya, Onesmo Buswelu amesema Wanawake waliolalamika ni Wageni maeneo hayo wametokea Kigoma, hawapo katika vikundi na kwamba Mwaka wa Fedha 2024/2025 Halmashauri hiyo imetoa Tsh. 1,172,824,000 ikiwa ni mikopo ya Halmashauri ya 10% kwa makundi ya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu.
Akifafanua mgawanyo wa mikopo kwa vikundi, amesema Wanawake (107) Tsh. Milioni 529.7, Vijana (97) Tsh. Milioni 603.8 na Watu wenye Ulemavu (16) Tsh. Milioni 39.2. Ameongeza kuwa mikopo hiyo imetolewa kwa kila Kata kwa vikundi vyenye sifa, Kata ya Ikola vikundi (15) vimenufaika na Tsh. Milioni 69.
Zaidi soma https://jamii.app/TanganyikaWilaya
#Accountability #Governance #JamiiAfrica #JamiiForums #Transparency

DAR: Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya vikao vyake kwa njia ya faragha leo Januari 24, 2025 baada ya kuzuia Waandishi wa Habari kuingia kwenye ukumbi ambao waathirika wanatoa ushahidi wao.
Tume imefanya mkutano na Wananchi katika Wilaya ya Ubungo, ambapo ilitangaza kuwa Waandishi wa Habari hawataruhusiwa kuingia ukumbi wakati ushahidi unapotolewa na wahusika.
Tangazo hilo limetolewa na Jaji Mstaafu Profesa Ibrahim Juma aliyekuwa akiongoza kikao na kueleza uamuzi huo ulilenga kulinda faragha ya mashahidi akidai kuwa baadhi ya Watoa ushuhuda walilalamika taarifa zao binafsi kusambaa kwenye Vyombo vya Habari na wanapata usumbufu wa Vyombo vingi kuwatafuta kwa lengo la kutaka kuwahoji.
Zaidi tembelea https://jamii.app/TumeKuzuiaWaandishi
#JamiiForums #JFMatukio #Transparency #Governance

❤1👎1
KILIMANJARO: Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Reuben Kwagilwa alisema hayo Februari 19, 2026 alipokuwa Wilaya ya Rombo wakati wa ziara ya Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba.
Zaidi https://jamii.app/Nukuukwagilwa
#JamiiForums #JFNukuu #Uwajibikaji #UtawalaBora #Transparency #JFQuote

Akisoma Bajeti Kuu ya 2026/27 Bungeni, Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Omar amesema pamoja na mafanikio hayo bado kuna kazi kubwa ya kuendelea na mapambano dhidi ya adui Umasikini.
Nini maoni yako Mdau?
Zaidi tembelea https://jamii.app/KupambanaNaUmasikini
#JamiiForums #Accountability #BajetiKuu2026 #Governance #Uwajibikaji #Transparency

DODOMA: Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Omar amesema katika Bajeti ya 2026/27, Serikali imefanya matumizi mahsusi kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa miradi na huduma mbalimbali ikiwemo ujenzi wa miundombinu na viwanja vya michezo na ushiriki kwa ajili ya Michuano ya Kombe la Afrika (#AFCON2027) ambapo #Tanzania itakuwa ni moja ya Nchi mwenyeji.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/UjenziViwanjaAfcon
#JamiiForums #Accountability #BajetiKuu2026 #AFCON2026 #JFSports #Transparency