Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa Hati ya kumkamata Rais #VladimirPutin kwa maelezo kuwa amehusika na Uhalifu wa Kivita kufuatia uvamizi wa #Ukraine
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imesema "Maamuzi ya #ICC hayana maana kwasababu Nchi hiyo haipo kwenye Mkataba wa #Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake"
Una maoni gani kuhusu hatua hii ya ICC dhidi ya Rais Putin?
Soma https://jamii.app/PutinICC
#Accountability #HumanRights

😁15👍10👎3🤡2
AFRIKA KUSINI: Kiongozi wa Chama cha Upinzani (EFF), #JuliusMalema amesema Taifa hilo halifungamani na upande wowote, hivyo kitendo cha hivi karibuni cha Mahakama ya #ICC kutoa kibali cha kukamatwa kwa Rais #VladimirPutin wa Urusi ni matakwa ya Mataifa ya Magharibi
Pia, Malema amesema kama angekuwa Kiongozi wa Serikali angeisaidia Silaha #Russia katika vita yake na Ukraine huku akieleza sababu za kufanya hivyo ni kuondoa ubabe wa baadhi ya mataifa kuingilia uhuru wa Nchi nyingine
Una maoni gani kuhusu kauli hii ya Malema?
Soma https://jamii.app/MalemaICC
#JamiiForums #Diplomacy #Accountability #HumanRights

👍19
AFRIKA KUSINI KUBADILI SHERIA ILI KUKWEPA KUMKAMATA PUTIN
Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika ili Taifa kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (#ICC)
Hoja hiyo imeibuka baada ya Rais wa Urusi, #VladimirPutin kuwa na mwaliko wa kushiriki katika kikao Agosti 2023 Nchini Afrika Kusini na yupo hatarini kukamatwa kutokana na Vita inayoendelea baina ya Urusi na #Ukraine lakini wenyeji wake hawataki akamatwe kwa kuwa wao hawana upande katika vita hiyo
Chama cha Upinzani cha Democratic Alliance (#DA) kimesema kitafungua kesi kupinga uamuzi wa Serikali kwa kuwa wao wanataka Putin akitua Afrika Kusini akamatwe
Soma https://jamii.app/SouthAfricaICC
#Diplomacy #Governance

👍4❤1
KENYA: Makundi ya Utetezi wa #HakiZaBinadamu yamemkosoa Rais #WilliamRuto kwa kusaini Sheria ya Msingi ya Umoja wa Afrika iitwayo #MalaboProtocol ambayo itamfanya asiweze kufunguliwa Mashtaka moja kwa moja kwenye Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (#ICC)
Saini ya Ruto inatoa idhini ya #Sheria kuanza kutumika ndani ya Miezi 3 ijayo ambapo, Rais pamoja na Maafisa Wakuu wa Serikali hawatofunguliwa Mashtaka kwa Makosa mbalimbali kama ya Uhalifu wa Kivita, Mauaji ya Halaiki, na Uhalifu dhidi ya Ubinadamu hadi watakapotoka Madarakani
Sheria hiyo iliyosainiwa Julai 24, 2023, ilipitishwa na Umoja wa Afrika Mwaka 2014 lakini tokea wakati huo haikuwa imeidhinishwa Nchini #Kenya
Soma https://jamii.app/KingaICC
#JamiiForums #HumanRights #Democracy #Governance

👍5
UFARANSA: Rais wa Bunge la Ulaya, Roberta Metsola amesema tuzo hiyo inatambua mchango wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (#ICC) katika kusimamia Haki za Kimataifa. Tuzo ya Sakharov ilianzishwa Mwaka 1988, huku hafla ya mwaka huu ikipangwa kufanyika Desemba 16, 2026, mjini Strasbourg.
Zaidi tembelea https://jamii.app/IccYatwaaSakharov
#JamiiForums #Diplomasia #TuzoYaSakharov2026 #Governance #Accountability