KENYA: Makundi ya Utetezi wa #HakiZaBinadamu yamemkosoa Rais #WilliamRuto kwa kusaini Sheria ya Msingi ya Umoja wa Afrika iitwayo #MalaboProtocol ambayo itamfanya asiweze kufunguliwa Mashtaka moja kwa moja kwenye Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (#ICC)
Saini ya Ruto inatoa idhini ya #Sheria kuanza kutumika ndani ya Miezi 3 ijayo ambapo, Rais pamoja na Maafisa Wakuu wa Serikali hawatofunguliwa Mashtaka kwa Makosa mbalimbali kama ya Uhalifu wa Kivita, Mauaji ya Halaiki, na Uhalifu dhidi ya Ubinadamu hadi watakapotoka Madarakani
Sheria hiyo iliyosainiwa Julai 24, 2023, ilipitishwa na Umoja wa Afrika Mwaka 2014 lakini tokea wakati huo haikuwa imeidhinishwa Nchini #Kenya
Soma https://jamii.app/KingaICC
#JamiiForums #HumanRights #Democracy #Governance

👍5