AFRIKA KUSINI KUBADILI SHERIA ILI KUKWEPA KUMKAMATA PUTIN
Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika ili Taifa kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (#ICC)
Hoja hiyo imeibuka baada ya Rais wa Urusi, #VladimirPutin kuwa na mwaliko wa kushiriki katika kikao Agosti 2023 Nchini Afrika Kusini na yupo hatarini kukamatwa kutokana na Vita inayoendelea baina ya Urusi na #Ukraine lakini wenyeji wake hawataki akamatwe kwa kuwa wao hawana upande katika vita hiyo
Chama cha Upinzani cha Democratic Alliance (#DA) kimesema kitafungua kesi kupinga uamuzi wa Serikali kwa kuwa wao wanataka Putin akitua Afrika Kusini akamatwe
Soma https://jamii.app/SouthAfricaICC
#Diplomacy #Governance

👍4❤1
#AFRIKAKUSINI: Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Wabunge yameonesha Chama Tawala cha African National Congress (#ANC) kina dalili za kupoteza wingi wa Viti Bungeni kwa mara ya kwanza tangu kiingie Madarakani Miaka 30 iliyopita
Wapiga kura wengi wanailaumu ANC kwa viwango vya juu vya #Ufisadi, Uhalifu na Ukosefu wa Ajira nchini humo
Matokeo kutoka 56% ya Vituo vya Kupiga Kura zilizohesabiwa yameonesha #ANC inaongoza kwa 42%, ikifuatiwa na Democratic Alliance (#DA) kwa 24%, huku Chama cha uMkhonto weSizwe (MK Party) cha #JacobZuma kimepata 11% ya kura na Economic Freedom Fighters (#EFF) wakipata karibu 10%
Kwa matokeo hayo inaelezwa kuwa bado haijulikani kama Rais #CyrilRamaphosa atabaki madarakani kwasababu anaweza kushinikizwa na ANC kujiuzulu ikiwa chama kitapata chini ya 45% ya kura za mwisho
Soma https://jamii.app/KuraANC
#JamiiForums #Governance #Democracy #Demokrasia #SAElections #Accountability

👍3