Mdau angekuwa ni mtu wako wa karibu ungemshauri nini?
Zaidi https://jamii.app/BabaVsMchumba
#JamiiForums #Maisha
Zaidi https://jamii.app/BabaVsMchumba
#JamiiForums #Maisha
Maoni ya Wadau yanakuja muda mchache tangu Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kufanya mabadiliko ya viwango vya ‘Direct University Costs’ kuanzia Mwaka wa Masomo 2026/2027, kutoka Tsh. 97,400 hadi Tsh. 255,400.
Taarifa ya baraza imeeleza mabadiliko hayo yamechangiwa na gharama za sasa za uendeshaji wa mabweni, ambazo ni takribani Tsh. Bilioni 5.4 kwa mwaka, wakati makusanyo ya kodi kwa mwaka ni Tsh. Bilioni 2.25 pekee.
Zaidi https://jamii.app/UDSMDirectCosts
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFUwajibikaji2026

❤1
Kuna jambo au mjadala unaokutatiza wewe na rafiki zako? Piga 0901760321, muulize AVA swali lolote na upate jibu bila kutumia bando.
Zaidi https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Zaidi https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Mdau, nini kilikushangaza ulipoanza kuishi na rafiki au mwenza wako
Shiriki Mjadala https://jamii.app/TabiaKuishi
#JamiiForums #Maisha
Shiriki Mjadala https://jamii.app/TabiaKuishi
#JamiiForums #Maisha
👍1
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (#EWURA) imetangaza bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa nchini, ambazo zinaanza kutumika leo Oktoba 7, 2026.
Bei ya Petroli kwa Dar imefikia Tsh. 4,057 kutoka Tsh. 3,796, bei kubwa ya Septemba ilikuwa Tsh. 4,099 (Katoro – Kagera) kwa Oktoba ni Tsh. 4,370 (Kyerwa – Kagera).
Zaidi https://jamii.app/BeiMafutaOktoba
#JamiiForums #Utawala #JFUchumi

Oktoba 7, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa #JamiiAfrica, Maxence Melo atashiriki kikao kazi cha "The Face of Digital Democracy 2026" Mjini Copenhagen kilichoandaliwa na Good Commons ambao ni umoja ulioanzishwa na JamiiAfrica kutoka Tanzania, IMS kutoka Denmark na Splice Media kutoka Singapore.
Mkusanyiko huo utajumuisha Waandishi wa Habari na Waendeshaji wa Majukwaa mbalimbali kutoka Kabul, Dar es Salaam, Amman na Copenhagen, wakijadili masuala mbalimbali kuhusu Demokrasia Kidigitali.
Mjadala huu ni sehemu ya maadhimisho ya kila mwaka ya Demokrasia Mitandaoni kutoka Digital Democracy Initiative.
Zaidi https://jamii.app/DigitalDemocracy2026
#JamiiForums #DigitalDemocracy2026 #DigitalRights