Mdau shiriki katika mjadala huu kwa kuweka neno kwenye komenti hapo chini...
Zaidi https://jamii.app/KaziNyumbani
#JamiiForums #Maisha #JFChitChat
Zaidi https://jamii.app/KaziNyumbani
#JamiiForums #Maisha #JFChitChat
Mdau, Ukibaki na watoto nyumbani huwa unaweza kuwamudu?
Zaidi https://jamii.app/BabaKuleaWatoto
#JamiiForums #Maisha
Zaidi https://jamii.app/BabaKuleaWatoto
#JamiiForums #Maisha
Wiki ya Huduma kwa Wateja inaelekea ukingoni, Je, ni taasisi gani unadhani ina Huduma nzuri kwa Wateja mpaka unatamani nyingine zijifunze kutoka kwao?
Wataje hapa https://jamii.app/TaasisiBoraCstmrCare
#JamiiForums #CustomerServiceWeek
Wataje hapa https://jamii.app/TaasisiBoraCstmrCare
#JamiiForums #CustomerServiceWeek
Kuna jambo au mjadala unaokutatiza wewe na rafiki zako? Piga 0901760321, muulize AVA swali lolote na upate jibu bila kutumia bando.
Zaidi https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Zaidi https://jamii.app/AVANiAI
#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Updates: Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika "Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Tsh. 40,000.”
Zaidi https://jamii.app/MajiGobaRiverview
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/MajiGobaRiverview
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, imewahi kukutokea ukaona nauli haiendani na hadhi ya usafiri uliopanda? Nini kifanyike?
Zaidi https://jamii.app/LATRAVIPMabasi
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #ServiceDelivery #JFHuduma
Zaidi https://jamii.app/LATRAVIPMabasi
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #ServiceDelivery #JFHuduma
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
KATAVI: Hali ilivyokuwa kwenye Soko la Kilimahewa, jana Oktoba 9, 2026 wakati wa zoezi la ubomoaji wa vibanda vya machinga kwa lengo la kutengeneza mitaro.
Mwenyekiti wa eneo hilo, Benard Elias Nswima amesema "TANROADS walitupa taarifa tangu mwezi Machi au Aprili 2026 lakini utekelezaji haukuendelea, baadhi walibomoa wengine hawakubomoa, hivyo wamekuja kubomoa kwa kuwa ni maeneo yaliyo katika hifadhi barabara.”
Zaidi https://jamii.app/SokoKilimahewa
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala

Mdau umeshawahi kukutana na changamoto hii? Ulifanyaje?
Fuatilia zaidi, shiriki https://jamii.app/FaibaTTCL
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Fuatilia zaidi, shiriki https://jamii.app/FaibaTTCL
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
TANGA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (#TangaUWASA) kuchukua hatua za haraka kurekebisha chemba zinazotiririsha Majitaka, ili kuepuka mlipuko wa Magonjwa kwa Wakazi na Wafanyabiashara wa maeneo hayo.
Soma https://jamii.app/MajiTakaNgamiani
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Soma https://jamii.app/MajiTakaNgamiani
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026