Oktoba 16, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu📌
Nini maoni yako?
Mjadala unaendelea https://jamii.app/PlateNamba
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Nini maoni yako?
Mjadala unaendelea https://jamii.app/PlateNamba
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Ikumbukwe, Aprili 22, 2026, Mdau wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka husika kuanzisha mifumo salama ya ufungaji wa nyaya za Intaneti kwa makampuni akatolea mfano eneo la Kariakoo.
Baada ya hapo, Oktoba 10, 2026. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward akasema wataiandikia barua Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ichukue hatua dhidi ya kampuni zinazofunga nyaya bila kuzingatia utaratibu unaotakiwa.
Shiriki Mjadala https://jamii.app/TcraNyayaIntaneti
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji

Takwimu hizo za Awamu ya Kwanza zimetolewa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kuelekea kuanza kwa Mwaka wa Masomo 2026/27.
Mdau unadhani mfumo huu unakidhi mahitaji ya wanaohitaji kusoma elimu ya juu?
Zaidi https://jamii.app/MkopoVyuo2026
#JamiiForums #JFElimu
Mdau unadhani mfumo huu unakidhi mahitaji ya wanaohitaji kusoma elimu ya juu?
Zaidi https://jamii.app/MkopoVyuo2026
#JamiiForums #JFElimu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
SONGWE: Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa amemuondoa Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Songwe, Mhandisi Fredrick Mande kutokana na kushindwa kusimamia ipasavyo mradi wa Barabara ya Forodha–OSBP–Tunduma wenye urefu wa Mita 1,675, mpakani mwa Tanzania na Zambia. Awali, Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi alieleza kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi huo.
Ikumbukwe, mara kadhaa Wadau wa JamiiForums.com ametoa hoja wakidai changamoto ya miundombinu kuwa chanzo cha foleni ya magari na hivyo kuathiri shughuli za kiuchumi katika eneo hilo.
Zaidi https://jamii.app/KadogosaTanroadTunduma
#JamiiForums #Uwajibikaji
Ikumbukwe, mara kadhaa Wadau wa JamiiForums.com ametoa hoja wakidai changamoto ya miundombinu kuwa chanzo cha foleni ya magari na hivyo kuathiri shughuli za kiuchumi katika eneo hilo.
Zaidi https://jamii.app/KadogosaTanroadTunduma
#JamiiForums #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi wa Gereza la Ukonga kuruhusu Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuzungumza naye kwa usiri, huku maafisa Magereza wakikaa umbali wa kuona bila kusikia mazungumzo yao. Uamuzi huo umetolewa Oktoba 16, 2026, katika shauri lililofunguliwa na Wakili Kulwa Maduhu na wenzake.
Akisoma uamuzi huo, Jaji Amir Mruma amesema kusikiliza mazungumzo ya Lissu na Mawakili wake, Paul Kisabo na Nashon Nkungu, ni uvunjifu wa Kanuni ya 13 ya Uendeshaji wa Magereza ya mwaka 1968. Mahakama pia imeagiza mamlaka husika kuhakikisha Mawakili hao wanakutana na mteja wao bila kuingiliwa wala kusikilizwa.
Soma https://jamii.app/MawakiliWaLissuUkonga
#JamiiForums #Sheria #JFMatukio

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Moja ya Mjadala unaoendelea ndani ya JamiiForums.com
Zaidi https://jamii.app/BombaKuvuja
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/BombaKuvuja
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, eneo gani lingine la barabara linahitaji taa za kuongozea vyombo vya usafiri? Litaje...
Zaidi https://jamii.app/TaaKiboKimara
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/TaaKiboKimara
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MWANZA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema hayo Oktoba 16, 2026, wakati wa ziara yake ya kikazi.
Soma https://jamii.app/MakondaViongoziWaDini
#JamiiForums #Siasa
Soma https://jamii.app/MakondaViongoziWaDini
#JamiiForums #Siasa
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
PWANI: Mdau wa JamiiForums.com ameandika "Ujenzi umekoma tangu Mei 2026, tunahangaika kupata fedha za kufunika hilo daraja na pia kuna mvua zinakuja kubwa hatutoweza kutoka ndani kuvuka kwenda kwenye shughuli zetu kama ujenzi hautakamilika. Mitaa ipo ndani ya Manispaa ya Kibaha lakini Viongozi wapo kimya."
Fuatilia zaidi https://jamii.app/DarajaLumumba
#JamiiForums #JFMdau2026
Fuatilia zaidi https://jamii.app/DarajaLumumba
#JamiiForums #JFMdau2026
❤1
Je, unatumia njia gani kumlinda Mwanao dhidi ya unyanyasaji wa kimtandao? Tuambie hapa https://jamii.app/MitandaoWatoto
#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa
#JamiiForums #EndOGBV #UkatiliMtandaoni #JamiiYenyeUlewa