JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
KENYA: Taarifa ya Wizara imeeleza hadi sasa kati ya Watu 130 waliokutana na Wagonjwa wa Ebola, Watu 128 wameshawekwa karantini.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/EbolaKenya

#JamiiForums #Afya #PublicHealth
Mdau unakumbuka kitu gani? 😂

Shiriki Mjadala https://jamii.app/ImaniUtotoni

#JamiiForums #JFChitChat
Mdau, neno gani lilikuwa linakupa presha wakati uko shule?

Shiriki mjadala https://jamii.app/KauliZaShule

#JamiiForums #Maisha
TUNISIA: Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanasema Rais Kais Saied ameongeza ukandamizaji dhidi ya Asasi za Kiraia, Waandishi wa Habari na Viongozi wa Upinzani. Hata hivyo kiongozi huyo amekuwa akikanusha madai hayo.

Zaidi https://jamii.app/TunisiaMaandamano

#JamiiForums #Democracy #AfricanPolitics #Accountability
DAR: Awali, Mdau wa JamiiForums.com alieleza kuwa Wafanyabiashara wanaopanga bidhaa zao pembezoni mwa barabara eneo la Mabagala Rangi Tatu walikuwa wakisababisha foleni.

Machi 2026, Mamlaka husika zilichukua hatua za kuwaondoa Wamachinga katika eneo hilo na kuweka tangazo la kuwa atakayekiuka faini itakuwa Tsh. Laki 3 au kifungo cha miaka mitatu jela.

Fuatilia Mjadala https://jamii.app/MbagalaMachinga

#JamiiForums #JFMdau2026
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
NJOMBE: Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema hayo akiwa Makambako wakati ziara ya Makamu wa Rais Deogratius Ndejembi, leo Oktoba 18, 2026.

Zaidi https://jamii.app/KatambiMahusiano

#JamiiForums #Uwajibikaji
ENGLAND: Timu ya Manchester United imeendelea kuwa na msimu mbaya baada ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 dhidi ya Leeds United, ikiwa imeshinda mchezo mmoja kati ya 8 iliyopita katika michuano yote.

Matokeo hayo yanazidi kumuweka Kocha wa United, Michael Carrrick katika hatari ya kufukuzwa, kwani hadi sasa timu yake imezidiwa pointi 14 na Manchester City ambayo inashika nafasi ya kwanza katika Premie League.

Mjadala unaendelea https://jamii.app/ManULeeds26

#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Operesheni hiyo imeongozwa na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Yusuph Kamotta, Oktoba 18, 2026.

Yapi maoni yako mdau?

Zaidi https://jamii.app/NauliAbiriaRto

#JamiiForums #Uwajibikaji
Mdau, kitu gani kinakamilisha siku yako ya leo? Tuambie kwenye komenti.

Zaidi https://jamii.app/WikiendiBora

#JamiiForums #Maisha
Oktoba 19, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu📌

Unamshauri nini Mdau? Mwambie hapa https://jamii.app/KusomaBchlrMusic

#JamiiForums #JFElimu
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara ya Mambo ya Ndani kusaidia kwa kuzungumza na mamlaka zinazohusika ili kuwawezesha Mabaharia walipoteza kazi kupata Visa za C1/D za miaka miwili kwenye meli za Marekani.

Soma https://jamii.app/VisaMabaharia

#JamiiForums #JFMdau2026 #Diplomasia