JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
KAGERA: Askari hao waliokuwa doria pori la hifadhi ya Misitu ya Ruiga, wakiwa na silaha aina ya AK 47 tatu waliwashambulia watu waliokuwa wamebeba mkaa kwenye pikipiki zipatazo kumi baada ya watu hao kukataa kukamatwa na kujaribu kuwanyang'anya silaha askari hao na kusababisha vifo vya watu wanne.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/KageraAskariKuua

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #HakiZaBinadamu
Polisi wamesema hadi sasa Watu 167 wamekamatwa huku Askari 132 wakijeruhiwa katika maandamano hayo. Waziri Mkuu Edi Rama aliyekuwa madarakani tangu Mwaka 2013 amesisitiza kuwa hatajiuzulu.

Shiriki Mjadala https://jamii.app/AlbaniaMaandamano

#JamiiForums #Accountability #Governance
JamiiForums pinned Deleted message
AVA anajibu maswali yote, ni wakati wako wa kufaidika na huduma hii bure.

Zaidi https://jamii.app/AVANiAI

#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Mdau, tembelea Jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ndani ya JamiiForums.com kuchangia mada.

Zaidi https://jamii.app/TemboLiwale

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
UPDATES: Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Everlasting Lyaro amesema Oktoba 17, 2026, mafundi walirekebisha bomba hilo kazi ambayo ilitumia saa kadhaa na kukamilika siku hiyohiyo.

Ikumbukwe, Oktoba 15, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Barabara ya Kimara Korogwe - Majichumvi bomba linavunja mwezi mzima sasa bila maboresho”.

Zaidi https://jamii.app/BombaKuvujaKimara

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
RUVUMA: Wananchi hao wa Vijiji vya Magomeni na Majimaji wamekutana na Mbunge wao wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, Oktoba 18, 2026 kuelezea changamoto wanazopitia ikiwemo kuhusu migogoro kati yao na Wafugaji.

Zaidi https://jamii.app/WafugajiTunduru

#JamiiForums #UtawalaBora #JFMatukio
Mdau, Hapa mbinu gani itumike kijana aache tabia hizi? Mshauri hapa https://jamii.app/KijanaKununa

#JamiiForums #Maisha