JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Polisi wamesema hadi sasa Watu 167 wamekamatwa huku Askari 132 wakijeruhiwa katika maandamano hayo. Waziri Mkuu Edi Rama aliyekuwa madarakani tangu Mwaka 2013 amesisitiza kuwa hatajiuzulu.

Shiriki Mjadala https://jamii.app/AlbaniaMaandamano

#JamiiForums #Accountability #Governance
JamiiForums pinned Deleted message
AVA anajibu maswali yote, ni wakati wako wa kufaidika na huduma hii bure.

Zaidi https://jamii.app/AVANiAI

#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Mdau, tembelea Jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ndani ya JamiiForums.com kuchangia mada.

Zaidi https://jamii.app/TemboLiwale

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
UPDATES: Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Everlasting Lyaro amesema Oktoba 17, 2026, mafundi walirekebisha bomba hilo kazi ambayo ilitumia saa kadhaa na kukamilika siku hiyohiyo.

Ikumbukwe, Oktoba 15, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Barabara ya Kimara Korogwe - Majichumvi bomba linavunja mwezi mzima sasa bila maboresho”.

Zaidi https://jamii.app/BombaKuvujaKimara

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
RUVUMA: Wananchi hao wa Vijiji vya Magomeni na Majimaji wamekutana na Mbunge wao wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, Oktoba 18, 2026 kuelezea changamoto wanazopitia ikiwemo kuhusu migogoro kati yao na Wafugaji.

Zaidi https://jamii.app/WafugajiTunduru

#JamiiForums #UtawalaBora #JFMatukio
Mdau, Hapa mbinu gani itumike kijana aache tabia hizi? Mshauri hapa https://jamii.app/KijanaKununa

#JamiiForums #Maisha
UGANDA: Tovuti ya BBC imeripoti kuwa Askari wa zamani wa ngazi ya juu kwenye Jeshi la Rwanda, Robert Kabera (50) ambaye aligeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Rais Paul Kagame, alitafuta hifadhi Uganda akidai ni kutokana na sababu za mateso ya Kisiasa nchini kwake.

Taarifa hiyo ya BBC imeongeza kuwa Msemaji wa Polisi Uganda, Kituuma Rusoke, Oktoba 19, 2026 amesema kuwa kichwa cha Kabera bado hakijapatikana baada ya mwili wake kukutwa nje kidogo ya Mji wa Kampala mwishoni mwa wiki iliyopita.

Zaidi https://jamii.app/MkosoajiKagame

#JamiiForums #HakiZaBinadamu