JamiiForums
✔
23.9K subscribers
40.7K photos
3.61K videos
34.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau, umeshawahi kukutana na changamoto kama hii wakati unafuatilia matokeo yako Chuo?

Fuatilia Zaidi https://jamii.app/MatokeoCBEDodoma

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Italia: Polisi wameeleza kuwa wamekamata na kuwashikilia waandamanaji 271 huko Milan, ambapo kati yao, watu 32 walitiwa mbaroni wakiwemo raia 13 wa kigeni.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/MaandamanoMaduka

#JamiiForums #Uwajbikaji #Demokrasia
Mdau angekuwa ni mtu wako wa karibu ungemshauri nini?

https://jamii.app/TabiaZaWazazi

#JamiiForums #Uchumi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MBEYA: Baadhi ya video zikionesha madereva wa Bajaj wakipinga maelekezo ya kupangiwa ruti nyingine ambazo haziingiliani na daladala, matukio hayo yametokea leo Oktoba 19, 2026. Jitihada za kupata mrejesho kutoka mamlaka zinazohusika zinaendelea.

Ikumbukwe, Oktoba 12, 2026, Mkuu wa Mkoa, Jumanne Sagini alielekeza Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua za Kishera Madereva Bajaj wote wanaokiuka Sheria za Barabarani hata zile zinazomilikiwa na Viongozi wa Serikali.

Zaidi https://jamii.app/VuruguMbeya

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
SIMIYU: Mkuu wa Mkoa, Said Mtanda ametoa agizo hilo kwa Jeshi la Polisi, Oktoba 19, 2026 wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.

Zaidi https://jamii.app/BetriMRIX-Ray

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Mdau, unakubaliana na hoja hii?

Zaidi https://jamii.app/WasaidiziKazi

#JamiiForums #Maisha

Credit: Kichwa_kubwa_
Unahitaji ushauri wa jambo lolote? Mpigie AVA kupitia namba 0901760321

Zaidi  https://jamii.app/AVANiAI

#JamiiForums #OngeaNaAVA #MuulizeAVA #MshirikisheAVA
Oktoba 20, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea katika mtandao wa JamiiForums.com wakati huu

Zaidi https://jamii.app/BegiAirport

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026